Febrauary 14 ni mashuhuri duniani kama valentine day yaani siku ya wapendanao duniani. Siku hii imekuwa siku ya kufanya biashara na watu wanaitumia kujitajirisha na kufanya biashara zaidi. Lakini je unajua jinsi gani siku hii ilianza?
Will appreciate your comments.
Ulichosema ni kweli. It's difficult to keep original content na si tu kuripost video za watu.
Mimi najaribu na channel yangu. Nitafurhia kama wata wanaosoma hii wa subscribe na kutizama videos.
www.youtube.com/dakika3
Tanzania inajaribu kutumia technologia ya drones kuanzisha mtandao mkubwa kabisa kuliko yoyote duniani wa kusambaza damu na madawa kwa haraka na usamala kwenye maeneo ya mbali.
Katika siku chache zilizopita tumekua tukimsikia mwanachama mashuhuri wa chadema akiikosoa serikali ya Rais Magufuli kuhusu ununuzi wa ndege ya bombardier. Video inaprovide summary ya incident.
Jinsi ya kupika keki ya ndizi na chocolate chips
Jaribu mapishi yafuatayo na ufurahie na familia na marafiki wako
Keki ya Ndizi ikiwa na vipande vidogo vya chokoleti (chocolate chip)
Viungo vya mapishi
Hatua 1: Kutengeneza Mchanganyo
Kikombe 2/3, vipande vidogo dogo vya chokoleti ya kawaida...
Unywaji wa soda ina hatari nyingi kwa afya.
Je, kwa nini, we as responsible Tanzanians allow this poisonous liquid to be advertised and consumed so freely?
Tafadhali toa maoni yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.