Kuishi hakuna maana yoyote cause kuna ambao wanakufa hata kabla hawajaiona dunia, kwani wapo wanaokufa kwa umri wowote unaojua wewe kati ya 0 hadi uzee.Ndio vitu vinavyodrive economy of the world...
Kufa ni sehemu ya maisha cause ukiyachunguza maisha hauwezi kupata maana yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu chochote kitamu ni sumu hadi mbu.nye
loh salalaa na vitu vyote vichungu vina afya
dunia ina mitego hii
Kabisa. Hata nyama tunambiwa tusile. Kwani sisi marasta?kila kitu kinasumu sikuizi vimetofautiana viwango tu
Yapi mkuu ya mvua au ya kisima,maana ya uhai nimeambiwa yanayo kitu inaitwa pH sijui.Maji
Liquid zote zina ph, lakini ya maji ni 7 yaani neutral.Yapi mkuu ya mvua au ya kisima,maana ya uhai nimeambiwa yanayo kitu inaitwa pH sijui.
HahahaToa ujinga wako huo unajua utamu wa novida wewe
truth=freedom
Kila nafsi itaonja umauti bhana unywe soda usinywe utakufa tu ,hata kwa kuliwa na mamba
Kwa hiyo Sie wanywaji wa balimi we lives longer life eeehWanaokunywa soda wataonja mauti mapema 😀
