Recent content by athuman mdee

  1. A

    JamiiForums Tanzania Dk. Slaa na Zitto kupanda jukwaa moja

    Wala hawatutishi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mafuriko ya Dr. Slaa hayakuvuna kitu ndio aweze Lowassa

    Mafuriko ya Dr. Yalifanya kazi kubwa ya kukijenga chama japo kuwa wewe usiyefahamu unaweza kusema hakuna kitu kwa sababu tuu hajui.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Kiingereza chake!

    Alisema ""You can not improve property"" Hajasema you can not improve poverty msikilize vzur kali KENYATTA
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Bilioni 500 alikuwa mnyika? Hahaha kweli ww unatakiwa ukaanze kusoma chekechea lol?
  5. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Tatizo la maji ni la jj zima na utatuzi wake sio wa miaka mi 5 pekee.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Maana yangu ni kwamba miaka 50 wengine hawajaweza kutimiza hayo wa miaka 5 ndo kafanya kosa saaana?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

    Ww mzee umefulia Kahubiri injili tu
  8. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Miaka mitano tu Mnataka afanye kila kitu hao walio kao miaka 50 walifanya yapi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    UKAWA juu
Back
Top Bottom