Recent content by Athuman Bagura

  1. Athuman Bagura

    SI KWELI Kuvaa nguo nyekundu kunasababisha kupigwa na radi

    Vipi kuhusu matumizi ya simu wakati mvua inanyesha! Nayo ina ukweli kuwa ukitumia simu wakati wa mvua utapigwa radi?!
  2. Athuman Bagura

    Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

    Kama issue ni kuiga, basi mwasisi wa mambo haya ni Rais Kagame wa Rwanda tangu mwaka 2019. Kwa hivyo hata Simba waliiga.
  3. Athuman Bagura

    Video: Watu watatu waanguka kutoka kwenye ndege inayoondoka Kabul (Afghanistan)

    Eti huyu naye ni Muislamu na anatarajia Kukutana na Mola wake siku ya Qiyama!
  4. Athuman Bagura

    Suluhisho: Tatizo la mita ya luku kugoma kupokea token

    Mie mita yangu inaandika error 06 sijui nifanye nini?
  5. Athuman Bagura

    GE2020 Wanaovaa nguo za CCM kwenye mkutano wa Kampeni kwanini baada ya mkutano huzivua kabla ya kurejea makwao?

    Kama wanapata watu wa kuwalipa kwaajili ya kuvaa sare itakuwa kupata wakala?! Nonsense!
  6. Athuman Bagura

    Membe’s rudderless campaign

    Mnachochambua ni utopolo mwingi.
  7. Athuman Bagura

    Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    Na bado wananchi wa Chato wakampiga mawe kwa kile walichodai kuwa ni 'dhihaka dhidi ya maendeleo yao'.
  8. Athuman Bagura

    Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    We ni mwongo, mzushi na mpuuzi. Haya umeyapata wapi? Hakuna statement yoyote si kwa mamlaka za usalama wala NCCR-Mageuzi kutaja uongo wako huu.
  9. Athuman Bagura

    Kilimanjaro: Waliohusishwa na utekaji wa watu na kujitambulisha kama Usalama wa Taifa watiwa mbaroni

    Utopolo mwingine bhana! Nani kakudanganya kuwa Polisi wanaweza kuwakamata 'watu wa CCM'?!
  10. Athuman Bagura

    Vigezo vinavyotumika kuteua Ma-RPC viangaliwe upya. RPC wa Arusha hafai

    Kwani nyie hamtakufa? watu wengine wapumbavu kwelikweli.
  11. Athuman Bagura

    Watu wa Dar mnazidi kutuangusha upinzani, sijategemea

    Kwani wakati hawajafika Afrika tulikuwa hatuishi? Fala kwel kwel
Back
Top Bottom