Recent content by athmannyoka

  1. A

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    nafuta wimbo wa TMK UNIT -HAITOSHI
  2. A

    JamiiForums Tanzania Napataje Dekoda za canal sports.

    0765187859 nipigie nikupe maelezo jinsi ya kuipa
  3. A

    JamiiForums Tanzania Msaada ku-unlock phone IMEI

    Nenda kariakoo na elfu kumi tu ! Wanafungua hata dakika tatu haziishi!
  4. A

    JamiiForums Tanzania UPATIKANAJI WA FTA RECEIVER

    Hivi pale kariakoo ni duka gani naweza kupata FTA receiver ili niweze kuona ligi za ulaya kupitia sports 24 na sony
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Sport 24 Kwenye dish ft 6

    Tafuta fundi aje kukurekebishia mbona wenzio tunamla tu mzungu
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kubadilishana nae king'amuzi

    Upo wapi?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Hela kwa atakaye nisaidia kuRoot Huawei Y3ii

    Imekataa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kushare internet katika simu

    Jaman naomba msaada wa hatua za kufanya hadi unaweza kushare mb na simu nyingine. Nilikuwa nimefundishwa ila nimesahau waungwana
  9. A

    JamiiForums Tanzania Je meli ina breki?

    Nimekuelewa mkuu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Je meli ina breki?

    Jamani naomba kuuliza swali kama meli ina breki? Naomba msaada Offshore Seamen
  11. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye ufahamu juu ya ufungaji wa dish la startimes

    Tafuta fundi tu rafiki yangu kwani ukifanya mchezo utajutia!
  12. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kuunlock huawei Y3II

    Jaman matechnician naomba msaada wa kuweza kuifungua / unlock HUAWEI Y3II Ili niweze kuenjoi laini zote kwani nateseka sana na kutumia laini walioikusudia. Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom