Napata Shaka kidogo na uelewa wa hao wanaoshangilia matokeo ya uchafuzi huo wa demokrasia, uhuru na haki unaondelea nchini huku wakidhani kuwa wataepuka athari zake. Ni umbumbumbu na kukosa uelewa kwa kiwango kikubwa kabisa kushangilia uchafuzi huu. Athari zake zitamfika kila mtanzania bila...
Huyo ndiye mbunge aliyeandika kutetea kuondolewa kwa fao la kujitoa uanchama kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii....ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa
Rwanda ni sawa mkoa wa Tabora uugawe mara tatu
Morogoro ni kubwa karibu mara mbili na nusu ya nchi ya Rwanda; Rwanda ina sqkm 26,338 wakati Morogoro ina sqkm 70,624
Maana yake ni kuwa mpaka sasa ni asilimia 13 tu ya bajeti ya serikali 2016/17 ya jumla shilingi za kitanzania tr.29.5 ndo imekwenda kwenye shughuli za maendeleo
Sisi sote ni wa Mwenyezi Mungu na sote tutarejea kwake, pole sana kwa ndugu, jamaa na marafiki na wote walioguswa na msiba huu, Mungu awape moyo wa subra na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu. Mwenyeezi Mungu amsamehe na yote aliyotanguliza, nasi atujaalie mwisho mwema.
Kama ulivyoshauriwa na Mkuu Glory Amboce kwamba we tuma CV yako pengine inaweza kushawishi zaidi kuliko mtu mwenye elimu ya diploma. Kwa taarifa tu ni kwamba mpaka wenye elimu ya shahada ya kwanza wametuma cv zao, Huwezi kujua nini kinaweza kutokea.
Wakuu CV zinaendelea kupokelewa hadi Jumapili tarehe 28/6/2015 kwa nafasi hiyo ya uhudumu wa ofisi.
Anahitajika mwenye diploma ktk fani yoyote kwa sababu mbali na kazi za uhudumu wa ofisi pia itakuwa rahisi kwa taasisi kumfundisha 'other clerical works'.Lakini pia kumpandisha kwenye level...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.