Kama si siasa pekee, Elibariki Kingu(mb) hongera sana

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
5,010
15,625
Niwe wa kwanza kukupongeza hapa JF Kama ulivoweka kwenye ukurasa wako wa Facebook.

Kama wapo wanaochukia maendeleo haya kwa vijana ni wachawi Na maadui wa taifa, yafaa kuzidisha maombi...

Hofu yangu, isiwe Tu Ni defensive mechanism ya wanaohoji mlinganyo wa Mali za wanasiasa wetu ukilinganisha na vipato vyao, yet... Ukilinganisha na cha Mwananchi wanemuita "mnyonge" au "wa kawaida.

I'm happy for you,.. Good job done...............
wp_ss_20170514_0002.png

View attachment 509008 View attachment 509008 View attachment 509009 View attachment 509008 View attachment 509009
FB_20170514_01_10_14_Saved_Picture.jpg
FB_20170514_01_10_14_Saved_Picture.jpg
FB_20170514_01_10_14_Saved_Picture.jpg
wp_ss_20170514_0002.png
FB_20170514_01_10_14_Saved_Picture.jpg
wp_ss_20170514_0002.png
FB_20170514_01_10_14_Saved_Picture.jpg
wp_ss_20170514_0002.png
 
ni wa chama gani huyo? maana kile chama lolote lawezekana mpk akawa hivyo:D:D:D
 
hii mbegu tu,mzee kingu alishakuwa mtu mkubwa sana pale singida miaka ileeee 80S,wanae Shila na wengineo wako sawa tu mpk sasa
Mnikulu Geofrey Kingu kaondoka juzi tu hapo kipindi cha kwa Mkapa,ila vijana bado wako njema sana .
ufisadi,elimu nzuri,kujuana,kuachiana madaraka ndio urithi wetu
 
Ni sawa tu, kwa kipato cha mbunge, kuwa na nyumba kama hii si jambo la kushangaza.
 
Na ndiyo tujue wapi tunashika, wanasiasa karibia wote maisha yao yapo sawa si mchezo.
Afrika kuwa mwanasiasa inamaanisha kua tajiri.
 
Pepo ni hapa hapa duniani mbinguni kuhesabiwa tu. Mjengo mzuri Kama huo hata kama unalala bila kula baada ya wiki madaktari watakushauri upunguze kula vyakula vya mafuta.

Huyo ndiye mbunge aliyeandika kutetea kuondolewa kwa fao la kujitoa uanchama kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii....ama kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa
 
Hongera kwa mafanikio. Tusiombeane maisha magumu. Pia kapendezesha Jiji..makofi kwa tafadhali
 
Back
Top Bottom