Hahaha. Nimecheka sana. Yaani Watanzania kwa ubishi!! Kenya is majority a service based economy. FACTS. Huwezi lazimisha tuwe Agricultural kama nyinyi na ardhi yetu more than half is not arable.
Hongera zenu waTZ. Kama waKenya it's only natural tungetaka huu mradi upitie kwetu lakini you can't always have it all.
Hata hivyo, ikumbukwe kuwa KE pia tuna mradi wetu wa Lamu pipeline, ambayo itakuwa heated na kuwa buried underground. Itakuwa 6bln USD cheaper than EACOP na inatarajiwa SSD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.