Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 33,870
- 32,650
Wanaogopa kufanya hivyo hawa nyang'au.Mbona sioni picha na video za Kibera, maana huko ndiko kunatoa picha halisi ya maisha na makazi ya watu wengi wa Nairobi.
Wanaogopa kufanya hivyo hawa nyang'au.Mbona sioni picha na video za Kibera, maana huko ndiko kunatoa picha halisi ya maisha na makazi ya watu wengi wa Nairobi.
Traffic Tanzania ni wasumbufu sana wanajenga hoja dhaifu kwa Madereva mwisho wa siku wanataka pesa ni aibu sana hiiMsaada wa kitabu Cha Natala plz
Duuuh! kuna shule na SCHOOLS.
Tukiwaambia zuchu ana utoto wanasema tuna chuki. Halafu si huwa wanasema hawavai jersey za Kenya? Hiyo jersey ya Bandari sii ya Kenya?🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZMASKe2Hh/