Recent content by asururu

  1. A

    JamiiForums Tanzania AFCON 2017: Guinea Bissau ni mbovu kuliko hata Taifa Stars

    Naangalia hii mechi ya Gabon vs Guinea bissau. Siamini kama Taifa stars ni mbovu zaidi ya hii Guinea bisau. Sijui hawa jamaa waliqualify vipi?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

    Mimi nadhani, ni vema tukayaacha hayo mambo yaendelee bila kujali serikali imetumia budget ipi coz kuyajua hayo yanahitaji taaluma na kuijua hiyo budget yenyewe ya mwaka huu. Naimani CAG yupo macho, mwakani atatuambia which is which kama mtoa mada alivyouliza.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA na kuivunja Bodi

    Tungewajua body members ingetupa picha juu ya mnachokiita sababu.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nimeadhirika na punyeto

    Kaka pole, ila nami naungana Na washauri waliopita. Kula vizuri vyakula asili Na jipe likizo ya siku hata 89 hivi. Utarudi hapa kushukuru.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Mtu akitoa ni shida, asipotoa nayo ni shida! Hivi binadam uishi vipi ili uwe sawa kwa watu?
  6. A

    JamiiForums Tanzania Diploma holders mkosi gan huu tulionao jaman?

    Poleni sana ndugu zangu!
Back
Top Bottom