AFCON 2017: Guinea Bissau ni mbovu kuliko hata Taifa Stars

asururu

Member
Sep 11, 2016
6
2
Naangalia hii mechi ya Gabon vs Guinea bissau. Siamini kama Taifa stars ni mbovu zaidi ya hii Guinea bisau. Sijui hawa jamaa waliqualify vipi?
 
chanel gani wanaonyesha kwa kifurushi gani kwenye king'amuzi cha startimes
startimes hovyo kabisa hamna kitu. Kama unataka kuona basi uwe na Azam tv au Contnental Decorder ndio wana station ya ZBC2 ya Zanzibar hawa wapo Mubashara kutoka Gabon.

Azam wanauza 150,000 Contnental Decorder ni 36,000 na unapewa Airtime ya miezi 3 Bure. Upo?
 
azam chanel gan?
 
Naangalia hii mechi ya Gabon vs Guinea bissau. Siamini kama Taifa stars ni mbovu zaidi ya hii Guinea bisau. Sijui hawa jamaa waliqualify vipi?
Wewe hujui mpira ,hivi unajua hao wachezaji katika ngazi ya club wanachezea wapi?hao huwezi kuwa linganisha na akina kichuya ambao hata hawajulikani wapitia academy gani ya football,na ukitaka kujua hao guinea bissau ni wabaya au wazuri cheza nao uone.Hao wamefika hapo siyo kwa kubahatisha bali ni kwa uwekezaji kwenye mpira na kuwa na commitment kitu ambacho sisi hatuna
 
Hivi yule rais wa chama cha soka aliyepata tuzo ya rais bora wa FA ya Afrika ametoka nchi gani msaada kidogo..nimemsahau...

Alafu wajameni msiwe na dharau bila kufuatilia nchi ikoje..we ukitazama tu hata wachezaji wenyewr physique iko njema..soka lao liko straight.. alafu unaibeza doh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom