Tupe madini Genta hii ndio maana ya Great Thinker mara nyingi unachosema kina kuwa kweli hapa nimekuelewa hata manula mm nina wasi wasi nae embu fatilia hili mkuu
Kipindi kile alitaka kuja Simba lakini ndio muda huo kuna Mo ikashindakana Yanga yupo kwaa ajili ya biashara na ili mradi biashara zake zinaenda hakuna shida
Amesahau kuwa biblia inasema bisheni mtafunguliwa yaan wakristo na waislam wanachagua na kudonyoa vifungu vinavyowafuraisha ila ukianza kuwaonesha uongo wa biblia na quran yaan hapo utaambiwa unakufuru
Maana yangu ni kwamba kutumia wakati uluopo ndio kutunga sheria ili ziweze kuongoza watu lakini ukiangali quran na bible zimepitwa na wakati kwakuwa haziendani na wakati wa sasa huoni hili tatizo
The word magic come from the word magoi hawa magoi walikuwa Persia people kwa wagiriki ni magi maana yake ni wise men kwa hivyo watu wa zamani ambao waliokuwa na busara katika utawala wa persia waliitwa magoi na utawala wa persia katika biblia unajulikana kama uajemi kumbuka babel ilipovunjika...
Biblia kitabu chenye makossa chungu mzima ndio kiwe kitabu cha mungu 🤣 🤣 🤣 🤣 huyo mungu wa biblia mbona hamna kitu yule maana ingekuwa biblia kitabu cha mungu kisingekuwa na makossa
hiyo inaitwa star of david ina mambo mengi sana ilikuwepo toka Enzi ina uhusiano mkubwa na magic that's why magician waislam wakristo wayahud witchcraft masonic trader freemason wote wanaitumia kwamaelezo Zaidi isome star of david
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.