Vyote ulivyovitaja hapo juu ndivyo vinachangia wewe kufika mapema Wala hakuna mchawi mwingine yaani in short wakati wa sex Kama miili yenu ikigusana kisawa sawa Basi hisia hua zao ngezeka kutokana na lile joto la mwanamke.
Mmmh!embu rudia kusoma ulichokiandika Tena? Huo ubora anaupata vipi? 2011 kwenye utawala wake arusha kulitokea mauji makubwa, ktk utawala wake Dr ulimboka alitekwa na kwenda kutupwa msitu wa mabwepande,ktk utawala wake mchakato wa katiba mpya ulikwama.katika utawala wake ndipo elimu ya Tz...
Any way lakini pia Magufuli mwenyewe alisema kwamba alikua anapambania kubadilisha mindset za watanzania Ili wajitambue.Bahati mbaya ndo Ivo alifeli kwenye demokrasia tu lakini Kama angefanikiwa kwenye demokrasia Basi pengine angekua ndie rais Bora kuwahi tokea africa
Je hao wahangaza na wasubi kabla ya Tanganyika kupata Uhuru tayari walikuepo nchini au walikuja baada maana lugha yao inafanana kabisa na lugha ya wahutu.Na ukizingatia Mara ya baada ya Tanganyika kupata Uhuru mwalimu nyerere alisema kwamba mtu yeyote ambae kabla ya saa 6 usiku wa kuamkia tar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.