Recent content by Astigmatism

  1. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Nitafanya hii blood culture mkuu
  2. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Njia ambayo huwa wanatumia nahisi ni hiyo tube method maana majibu huwa nayapata kwa muda wa masaa 24. Nahitaji matibabu yaliyosahihi.
  3. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Mkuu naona bado hujaelewa kitu, nipo mwaka wa kwanza sasa nawezaje fanya hayo mambo? Pili am concerning with eye care professional. Sorry kwa kunielewa vibaya. Ndio tunasoma anatomy, boich, physio, micro na mengine mengi
  4. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Widal test
  5. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Asante mkuu. Nipo ndani ya dozi yako sasa.
  6. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Asante mkuu ila hayo majani bado sijayajua.
  7. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Mkuu uzi wangu nimandika nipo mwaka wa kwanza. Tena nasoma udaktari wa macho. Please sahau yote its real typhoid ninayo. Amini ninachosema
  8. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Mkuu unaweza kuona kama utani vile ila ni kweli. Tena nipo huwa natumia dawa ka mwezi m1 nakuwa nafuu ila huwezi amini ugonjwa unarudi tena. Kipimo cha typhoid ni widal test.
  9. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

    Wakuu habari zenu? Mimi nikijana wa mwaka wa kwanza ninaesomea taaluma ya udaktari chuo fulani hapa kwetu Tz. Nimekuwa na typhoid fever for more than 1 yr. Nimetumia antibiotics kama cipro, nimetumia pia powersafe injection na zingine nyingi ila sijafanikiwa kutibu tatizo. Naombeni mnisaidie...
  10. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Walimu wa arts mmekubali matokeo kirahisi

    Aisee twendeni jkt tukatafute ajira huko.
  11. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania MSAADA KWA WANAOJUA.

    EGM unachaguliwa kama umefanya vizuri hesabu na geog. Ila kwa habari ya ECA mpk uwe umesoma Commerce na bookkeeping mkuu.
  12. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Kama course unayosoma haipo kwenye list hii jiandae kisaikolojia

    Sodoka wakati mwingine unaakili sana
  13. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Degree ya Pharmacy ndo kozi yenye mchongo kuliko zingine zote kwa Tanzania

    Naomba nicomment ili nafsi yangu irizike. K*u*m*a* wewe, nimesoma comments zako zote mpk nikaafika kukwambia hivyo. Asante
  14. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Na wewe haupo serious na unachokifanya. Hata procedure za kuappeal hujui. [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  15. Astigmatism

    JamiiForums Tanzania Nimepata mkopo usiku huu kutoka HESLB

    Mkuu acha kukatisha tamaa wenzio kisa wewe ulipata mkopo usiku wa manane. Mwisho wakuappeal ni tarehe 31/01/2017
Back
Top Bottom