Nina typhoid ambayo sijafanikiwa kuitibu kwa 2 yrs

Astigmatism

Member
Nov 20, 2016
23
45
Wakuu habari zenu?
Mimi nikijana wa mwaka wa kwanza ninaesomea taaluma ya udaktari chuo fulani hapa kwetu Tz. Nimekuwa na typhoid fever for more than 1 yr. Nimetumia antibiotics kama cipro, nimetumia pia powersafe injection na zingine nyingi ila sijafanikiwa kutibu tatizo.

Naombeni mnisaidie tiba salama ya huu ugonjwa. Asanteni
 
marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
999
2,000
Hilo tatizo lilishawahi kunikumba nilitumia dawa hizohizo 2 years bila kufanikiwa.nilitumia vidonge zaid ya miatano ckupata chochote lakini kulikuwa na friend mmoja akaniambia kwamba dawa ya ugonjwa huo ni kunywa maji kwa wingi kias cha lt 3 hadi 5 kwa siku muda mwezi 1.....,,,.hii ni uhakika c porojo jaribu mkuu harafu urete mrejesho

Lakini kumbuka kunywa maji ukiwa ktk dozi lt hizo kwa taratibu bila kusubili kuwa na kiu
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,359
2,000
Mkuu Typhoid unayo miaka miwili seriously? Halaf unasema wewe ni mwanafunzi wa udaktari kweli?

Sio kweli mkuu na hauna typhoid kwa huo muda wote.

Haiwezekani ukae na salmonnella typhi kwa muda wote huo tungeshakuzidi.

Naomba nikuulize hospital wanatumia kipimo gan kudiagnose hyo typhoid.

LT
 
Safari Safi

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
2,697
2,000
Mkuu, mgonjwa pia,
Dawa za hospitali hutengenezwa na matilio mbalimbali ikiwemo mimea.
kwa mantiki hiyo kuna mimea dawa yenye nguvu asili kabla ya kuchakachuliwa na viwanda vinavyotengeneza dawa,

kuna dawa moja nataka nikuelekeze uitumie hiyo, inaitwa "Nyanya pori"
dawa hii ni jamii ya magugu yanayoota mbugani au mitoni, huota popote ila zaidi kwenye vichuguu, mmea huo hupamba matunda yanayokuwa kwenye vifuko vyenye umbo la kopa (moyo)

ukipata majani yake utakunywa siku tatu, na ukienda kupima hautakutwa na typhoid kabisa.

Uandaaji:
Chuma majani, twanga, kisha anika juani kwenye kipande cha bati ili kuikausha haraka bila kupoteza ubora wake.

Ikikauka isage vizuri ili kupata unga.

baada ya hapo hifadhi kwa matumizi hata kwa zaidi ya mwaka mzima wala haitapoteza ubora wake

Matumizi:

chukua unga kijiko kimoja cha chakula,
weka kwenye grasi ya maji baridi,
ikoroge vizuri, na uiache kwa muda kama dakika 15,
baada ya hapo kunywa. (ila ni chungu balaa)
fanya hivyo mara tatu kwa siku.

ukitumia hii kwa siku tatu hadi 5 kutegemeana na ukubwa wa tatizo UTAPONA KABISA

Side infect:
tumbo litajaa kwa muda fulani,

utakuwa na kiu sana (itabidi unywe maji hasa)

Dawa hii ni maarufu sana, familia yetu pekee ina zaidi ya watu 20, ila dawa yetu kwa tatizo hilo ni hiyo tu! kwa zaidi ya miaka 12 sasa.

Ziada:
0787448447
 
Astigmatism

Member
Nov 20, 2016
23
45
Mkuu Typhoid unayo miaka miwili seriously? Halaf unasema wewe ni mwanafunzi wa udaktari kweli?

Sio kweli mkuu na hauna typhoid kwa huo muda wote.

Haiwezekani ukae na salmonnella typhi kwa muda wote huo tungeshakuzidi.

Naomba nikuulize hospital wanatumia kipimo gan kudiagnose hyo typhoid.

LT
Mkuu unaweza kuona kama utani vile ila ni kweli. Tena nipo huwa natumia dawa ka mwezi m1 nakuwa nafuu ila huwezi amini ugonjwa unarudi tena. Kipimo cha typhoid ni widal test.
 
Astigmatism

Member
Nov 20, 2016
23
45
Mkuu, mgonjwa pia,
Dawa za hospitali hutengenezwa na matilio mbalimbali ikiwemo mimea.
kwa mantiki hiyo kuna mimea dawa yenye nguvu asili kabla ya kuchakachuliwa na viwanda vinavyotengeneza dawa,

kuna dawa moja nataka nikuelekeze uitumie hiyo, inaitwa "Nyanya pori"
dawa hii ni jamii ya magugu yanayoota mbugani au mitoni, huota popote ila zaidi kwenye vichuguu, mmea huo hupamba matunda yanayokuwa kwenye vifuko vyenye umbo la kopa (moyo)

ukipata majani yake utakunywa siku tatu, na ukienda kupima hautakutwa na typhoid kabisa.

Uandaaji:
Chuma majani, twanga, kisha anika juani kwenye kipande cha bati ili kuikausha haraka bila kupoteza ubora wake.

Ikikauka isage vizuri ili kupata unga.

baada ya hapo hifadhi kwa matumizi hata kwa zaidi ya mwaka mzima wala haitapoteza ubora wake

Matumizi:

chukua unga kijiko kimoja cha chakula,
weka kwenye grasi ya maji baridi,
ikoroge vizuri, na uiache kwa muda kama dakika 15,
baada ya hapo kunywa. (ila ni chungu balaa)
fanya hivyo mara tatu kwa siku.

ukitumia hii kwa siku tatu hadi 5 kutegemeana na ukubwa wa tatizo UTAPONA KABISA

Side infect:
tumbo litajaa kwa muda fulani,

utakuwa na kiu sana (itabidi unywe maji hasa)

Dawa hii ni maarufu sana, familia yetu pekee ina zaidi ya watu 20, ila dawa yetu kwa tatizo hilo ni hiyo tu! kwa zaidi ya miaka 12 sasa.

Ziada:
0787447447
Asante mkuu ila hayo majani bado sijayajua.
 
jimmyfoxxgongo

JF-Expert Member
Jan 23, 2013
5,359
2,000
Mkuu unaweza kuona kama utani vile ila ni kweli. Tena nipo huwa natumia dawa ka mwezi m1 nakuwa nafuu ila huwezi amini ugonjwa unarudi tena. Kipimo cha typhoid ni widal test.
Mkuu uzi wangu nimandika nipo mwaka wa kwanza. Tena nasoma udaktari wa macho. Please sahau yote its real typhoid ninayo. Amini ninachosema
Asante mkuu ila hayo majani bado sijayajua.
Mkuu nitarud baadae kukueleza juu ya typhoid na wida test
 
Astigmatism

Member
Nov 20, 2016
23
45
Hilo tatizo lilishawahi kunikumba nilitumia dawa hizohizo 2 years bila kufanikiwa.nilitumia vidonge zaid ya miatano ckupata chochote lakini kulikuwa na friend mmoja akaniambia kwamba dawa ya ugonjwa huo ni kunywa maji kwa wingi kias cha lt 3 hadi 5 kwa siku muda mwezi 1.....,,,.hii ni uhakika c porojo jaribu mkuu harafu urete mrejesho

Lakini kumbuka kunywa maji ukiwa ktk dozi lt hizo kwa taratibu bila kusubili kuwa na kiu
Asante mkuu. Nipo ndani ya dozi yako sasa.
 
marcs

JF-Expert Member
Nov 2, 2016
999
2,000
Mkuu kunywa tu kwa sana utanambia tyford kitu gani piga maji kwa hasra
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357
2,000
Wakuu habari zenu?
Mimi nikijana wa mwaka wa kwanza ninaesomea taaluma ya udaktari chuo fulani hapa kwetu Tz. Nimekuwa na typhoid fever for more than 1 yr. Nimetumia antibiotics kama cipro, nimetumia pia powersafe injection na zingine nyingi ila sijafanikiwa kutibu tatizo.

Naombeni mnisaidie tiba salama ya huu ugonjwa. Asanteni
2yrs typhoid kibooooo utakuwa unaumwa ugonjwa mwingine hapo unakufa taratiibu siku ukishtuka u will be 6feets under trust me
 
Astigmatism

Member
Nov 20, 2016
23
45
Mkuu Astigmatism widal test unayoifanya inachukua muda gani kupata majibu.
Mkuu naona bado hujaelewa kitu, nipo mwaka wa kwanza sasa nawezaje fanya hayo mambo? Pili am concerning with eye care professional. Sorry kwa kunielewa vibaya. Ndio tunasoma anatomy, boich, physio, micro na mengine mengi
 
sawe4u

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
980
1,000
Kawaida Taifod haipon kbsa

Bali wale wadudu hupungua na kuongezeka ukikaz upme uambiwe huna utakesha .
 
Kibwengo

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
4,930
2,000
Wakuu Mimi natumia Dawa za u.t.i cipro ..je naweza tumia pombe maana Nina kiu kweli. Nina siku mbili ya doz
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom