HABARI ZENU WANA JAMVI.
Shida yangu ni kwamba, hivi aliyechukua arts O-LEVEL akipiga hesabu vizuri kuna uwezekano wa kuchaguliwa kombi ya biashara kama vile ECA na EGM?
MSAADA TAFADHALI.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.