Recent content by assry

  1. A

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Naweza pata mteja wa kuku layers wako 700 ,200 nimewachinja wako kwene frizer,location kakola,kahama 0692959979 kwa maelezo zaid na bei
  2. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kahama kakola nije ubungo
  3. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kahama msingi nije Ubungo dsm
  4. A

    Uzi maalum wa kujifunza jinsi ya kupata watoto mapacha na jinsia uipendayo

    niendelee na sayansi jaman? watu wamenipigia cm kushukuru hili asanten mlo fanyia kazi
  5. A

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njoo kahama nije morogoro mwalimu msingi
  6. A

    Mimi mwalimu wilaya kahama natafuta mtu moro tubadilishane,msingi

    natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo cha kazi, mwalimu msingi kahama nipo nataka moro asante,ni inbox
  7. A

    Ndugu wa Aquilina Akwilini wakabidhi bajeti ya TZS 80m kwa Serikali shughuli ya mazishi

    Hyo ni ndogo sanaaa, lets assume aqwilina angefariki katika level ya urais yan angekua rais wa tz ingekuaje?? Angekua mtu maarufu duniani,,dah 4 real inauma na budget ilitakiwa not less than 1billioni
  8. A

    Nauzaa hisaa

    Bei tuu
  9. A

    Uzi maalum wa kujifunza jinsi ya kupata watoto mapacha na jinsia uipendayo

    Hi, Leo natoa intro-jinsi ya kupata mtoto na jinsia uipendayo na haswa mapacha; Kwa mapacha wa kike na kiume kwanza hakikisha mkeo yupo katika kipindi cha joto yaani yai lake lipo tayari wataalam hilo natumai mnafahamu kwa uzuri. Hivo ukisha mwandaa uzuri na kila mtu yupo high high kwa...
Back
Top Bottom