Recent content by ASSEY

  1. A

    Adui namba wani wa Mwafrika ni...

    Adui ni Mwafrika mwenyewe
  2. A

    Je, CCM Itatawala Milele Au?

    Ukiendele kujiuliza na kuuliza swalikama hilo bila kufanya chochote CCM itatawala milele.
  3. A

    Law School of Tanzania: Ubabaishaji, uonevu na ubinafsi wa wanataaluma wa sheria

    Jamania mbona hatubadiliki na kuachana na hii tabia ya kulaumu na kulalamika bila kutoa jawabu au ufumbuzi? mimi nilitarajia watu wa JF kwakua nimkusanyiko wa "great thinkers" wangekua watoa masuluisho ya mambo yanayoisumbua jamii,lahasha huku kumekua ni malalamiko na lawama tu. mtu anadai Law...
  4. A

    This is just a belief

    We tanzanian we need to change the way we believe on issues about our nation. if we change the belief the performance follows ie if you and me change the our belief we can change the way we run our life, its often only the belief that makes somthing so ni kweli kwamba si kila kitu kipo kama...
Back
Top Bottom