Kwani hiyo upimaji ama uchunguzi wa maiti unachukua muda ama siku ngapi?Na kwani maiti zote ambazo huchelewa kuzikwa huwa ni kwa sababu ya kusubiri uchunguzi?
Alifanya kosa kubwa sana kufuta mfumo wa vyama vingi na kuanzisha mfumo wa chama kimoja pamoja na kuanzisha sera za kikomunisti . Kifo cha demokrasia ya kweli kilianzia pale
Hili jambo linashangaza sana. Kama Deo ni mtoto/mjukuu wa Ndejembi na wote tunakubaliana kuhusu hilo basi ni vyema wote tujiulize na kujijibu haya maswali?
1.Mzee Ndejembi alikuwa mgogo ama mpemba?
2.Kama jibu ni kwamba alikuwa mgogo, inakuwaje mtoto/mjukuu wake awe mpemba na si mgogo?
3.Je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.