Recent content by asmaluqman

  1. A

    JamiiForums Tanzania Deus Kibamba: Rais Kikwete alijaribu kwa Siri kubadilisha katiba ajiongezee mihula ya Urais ikashindikana.

    Acha nia yako ovu ya kuchafua watu, kwa faida ya nani?
  2. A

    JamiiForums Tanzania Msaada mtoto anaharisha.

    Chemsha majani ya mpera, yaache yapoe,mpe waji yake anywe. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Wa kitaalamu

    Shukran
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Wa kitaalamu

    Nini sababu ya kichwa kuuma upande Wa mbele kulia kuzunguka jicho kuja juu kidogo ya nyusi.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Utakuwa na chuki binafsi wewe, uliza msuli Wa MUM. Naweza kusema MUM ni kati ya vyuo vichache bora .
  6. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni handbag ya nani hapo kwa PM?

    Hapana jamani nyuma ya mama Samia kuna board guard wake ndo kabeba hiyo pochi, ila yeye haonekani, inaonekana pochi tu.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Magereza wanavyotesa watuhumiwa wa ugaidi gereza la Segerea

    Subhannah Llah
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kwa uamuzi huu wa RC na DC kuitwa kujitetea kwenye mhimili wa bunge Mtemi Chenge kakosea

    Tujifunze kuwa na akiba ya maneno.
  9. A

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Sio vzr kusahau tulikoroka
  10. A

    JamiiForums Tanzania Sheikh wa Dar: Rais Magufuli ni sawa na Omar bin Khattab(RA)

    Huyu sheikh mtihan, Allah yaalam.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tuna Rais mmoja tu nchi hii, analoliamua wote tunapaswa kulifuata

    Nadhani busara itumike zaidi kuliko nguvu. Uongozi mzuri no ule wa nafsi za watu na sio miili yao. Pia tujifunze kuwa na akiba ya maneno dunia sio kisiwa. Tusipo kuwa makini suku moja haya maneno yatatuweka katika wakati mgumu. Time will tel believe me.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Tanganyika hatuji kupata Rais bora kama Kikwete

    Kweli kabisa he was visionary leader
  13. A

    JamiiForums Tanzania WANASIASA KUTOFAUTIANA KAULI KWANINI HASA VIONGOZI??

    Lugha gongana, time will tell .
Back
Top Bottom