asmaluqman
Member
- Jun 11, 2016
- 27
- 22
Nini sababu ya kichwa kuuma upande Wa mbele kulia kuzunguka jicho kuja juu kidogo ya nyusi.
mkuu utakuwa na tatizo la macho na kipandauso dawa yake ni ndogo tu kunyw maji ya kutosha mkuu pia kapime machoNini sababu ya kichwa kuuma upande Wa mbele kulia kuzunguka jicho kuja juu kidogo ya nyusi.