Recent content by Askarimtu

  1. Askarimtu

    Sayansi na ushirikina

    Biblia imekataza kujifunza elimu hiyo ila inatuasa kuona ishara zitokanazo na mabadiliko ya anga. Ukianzia hapa utaona kuna kitu. Lakini inaweza pia ikaleta definition kuwa teknolojia ya juu zaidi ya sayansi ndio ushirikina wenyewe.
  2. Askarimtu

    Sayansi na ushirikina

    Kwa maana hiyo wanasayansi wote wanafanya shughuli za ushirikina aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Natafuta ufafanuzi zaidi au hakiki (evidences) juu ya hii taarifa. Kwanini sayansi na ushirikina kwa karne hii ni vitu vyenye uhusiano???
  3. Askarimtu

    Tui-support Association ya AMETT

    Ni Association of Medical Engineers and Technicians of Tanzania. Jumuiya ya wahandisi na fundi sanifu vifaa tiba hapa Tanzania.
  4. Askarimtu

    Swali kuhusu Sensa ya Watu na Makazi

    Habarini wataalamu Naomba kuuliza iwapo hii imewahi kutokea nchini au popote duniani. Je, matokeo ya SENSA YA WATU NA MAKAZI yaliwahi kutumika kubadilisha baadhi ya sheria nyeti kabisa za nchi husika?? Au mbali sana yakabadilisha kabisa KATIBA ya nchi? Ukiacha na mambo ya kuzuiliwa kuzaa...
  5. Askarimtu

    Kibonzo cha Gado baada ya uchaguzi mkuu huu

    Jamani hata kama magufuli ni mbaya (sio kisura), lakini ndiye anayefaa kutuongoza kipindi hiki!! Huu ndio hasa ukweli wa kisiasa unaotakiwa kuhubiriwa.
  6. Askarimtu

    Uchumi wa Kenya unazidi Kuzorota: Mabati Rolling Mills commissions new manufacturing plant in Athi River

    mnabishania nini hapa...??? Time will tell! Welcome to East Africa...!!!
  7. Askarimtu

    YAH: Ukombozi wa Fikra Afrika (kitata)

    taratibu taratibu ndugu....
  8. Askarimtu

    YAH: Ukombozi wa Fikra Afrika (kitata)

    Kwako Bwana/Bibi, Husika na kichwa cha habari hapo juu! Mimi ni mtanzania wa kawaida sana niliyemaliza elimu yangu ya kunitosha tuu, ya kujua kusoma na kuandika. Lengo la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa hapo zamani, Afrika ilikuwa na nchi kama Kaanani, Babiloni, Assyria, Sidoni, Tiro...
  9. Askarimtu

    Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

    duuh kweli jamaa alikuwa mjinga!
  10. Askarimtu

    The Most powerful countries in the world: Kenya is number 3 in Africa and 52 in the world

    hiyo ilikuwa...in polite way!!!! ukiongea na wananchi unakua raia wa kawaida tu.
  11. Askarimtu

    Ukipata mchumba mzuri tu jiandae kupoteza marafiki

    hataree sana mkuu...nichane tu
  12. Askarimtu

    Ukipata mchumba mzuri tu jiandae kupoteza marafiki

    yaah possibility ipo...ila lengo ni kuonyesha watu jinsi unavyoweza kufa kilaini, kisa kuiba cha watu...!!! Vijana wanajifia ghafla tu tena bila huruma, mojawapo ya sababu ni hii. Unaiba unajiona mjanja...kumbe mwenzio anakuona mjinga. Unakamatwa unang'atwa unakufa.
  13. Askarimtu

    Ukipata mchumba mzuri tu jiandae kupoteza marafiki

    kibaya ni kwamba, mzuri kwa wenzio (mimi na wao)...ila anaweza akawa mbaya kwako.
  14. Askarimtu

    Ukipata mchumba mzuri tu jiandae kupoteza marafiki

    case ipo sawasawa na mimi, japo kwenye hilo kundi la marafiki niliompatia huyo mchumba, ni mtu mmoja tu ambaye hakuridhika !!! Yaani nilikuja kugundua baadae kuwa wao walishindwa , mimi nikampata. Ila wale mabest friend wa kitambo kwa kitambo ndio hasa naongelea. Ila kwa yote, rafiki ni rafiki...
  15. Askarimtu

    Ukipata mchumba mzuri tu jiandae kupoteza marafiki

    Haijalishi una marafiki wangapi na ni mabest kivipi, ila tu jiandae kisaikolojia kuwa pale unapopata mchumba...na mchumba yule akawa mzuri basi maadui huongezeka sana. Binafsi ilinitokea kama miaka 2 hadi 3 iliyopita, na nikawa nachati na maadui zangu bila wao kugundua kuwa wanachati na nani...
Back
Top Bottom