Recent content by Askari kioja

  1. A

    JamiiForums Tanzania Unatumia simu gani?

    Tecno t20 mwanamke nyoga nimepata na ringtone buree na video Moja ya sijui inaitwaje ila Kuna mwanaume mweusi anaimba Shakira Shakira 🎶🎶🎶
  2. A

    JamiiForums Tanzania Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

    Tuache na uhuni wetu babu #nguvumoja
  3. A

    JamiiForums Tanzania Dar: Unaambiwa karibu guest zote zimejaa ujio wa Mkesha wa Mwamposa

    Acha uongo wewe mfiadini
  4. A

    JamiiForums Tanzania Simba Sc tumemsajili kiungo wa Ivory Coast, Ahoua Jean

    Katoka timu gani au free agent miaka miwili bila kucheza
  5. A

    JamiiForums Tanzania Kujiita wa mjini halafu huna vitu hivi au moja ya hivi vitu ni dalili ya ubwege

    Sikuizi maborn town wanajiita watoto wa mama kizimkazi
  6. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu wa Uber na Bolt

    Basi poa komaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu wa Uber na Bolt

    Foton tupu wanatumia
  8. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya hesabu wa Uber na Bolt

    Mwanetu kweli unashida ya kazi ila kama kweli we babu dele na chuma linakuchomoka vilivyo njoo shinyanga rohumbo kwenye camp ya sgr uchukue gari na mkataba
  9. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri, katiba mpya ni mwiba kwa Wakenya!

    Kwaiyo vipi wanaharakati munaovaa khaki tuendelee na mabadiliko ya katiba au tuishi hivihivi kama tupo kizimkazi
  10. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

    Asa alitabiri au alitoa siri lema nae SI walewale akina ball cone za azam nje nyeusi ndani nyeupe
  11. A

    JamiiForums Tanzania TANZIA Pumzika kwa amani Pudenciana Temba

    Mzee umenifurahisha et "akina mama ni wakuwaangalia watakuangamiza" endelea kutufunulia maktaba mzee hasa Ile ya alhaji shekhe mwinyimbegu dibibi msagala
  12. A

    JamiiForums Tanzania Hivi ikitokea wote tukahamia CCM itakuwaje. Si wanaCCM wataanza kununa tena maana tunaenda kuchukua nafasi zao

    Usiseme wote tukihamia ccm sema baadhi yenu mukihamia wengine hatuwezi huo ujinga bwashee
  13. A

    JamiiForums Tanzania Amini usiamini wanaume wengi huishi hivi katika maghetto

    Usishangae ninavyoitwa mbishi harafu naishi kwenye ghetto kama la ngwair
  14. A

    JamiiForums Tanzania Uteuzi Julai 2, 2024: Kidata aondolewa TRA, Jafo na Ashatu wabadilishana Wizara

    Jaffo na biashara wapi na wapi labda wampe michezo
  15. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uhusiano na mwanamke wa 28 miaka 28 lakini kaolewa na mzee

    Subiri kupigwa jando dogo
Back
Top Bottom