Recent content by Asilia seli

  1. A

    JamiiForums Msaada Betri ya simu inavimba.

    Ushauri ni kama wadau waliopita ila jarbu kuwapigia campuni husika inawezekana aina ya betry utumiazo sio sahihi muhimu sana. Pia unaponunua betry mpya fuata maelekezo upeayo ya kuicharg betr kabla haujaitumia.kua makini kuna vifaa feki vimeenea nowdayz.....
  2. A

    JamiiForums Nimeanza kuota matiti, taratibu naanza kujichukia mwenyewe

    Fanya mazoezi kwa sana punguza vyakuka vya mafuta wacha kabisa kujichua , tafuta mwanamke akusaidie na ujichanganye ili upunguze msongo wa mawazo ......muone daktari ukizingatia hayo utakua poa[emoji35]
Back
Top Bottom