ni kweli kabisa maana Qur an huwa haiongopi...."wala hawataridhia Mayahudi na Manaswara 'wakristo' mpaka mfuate mila zao" hilo ndilo linalokupa taabu kuona waislam hawafanani na hivyo vimini vyenu. cha ajabu ni kwamba wale masister wa ROMA wanapendeza sana na mavazi ya kiislamu sijui unasemaje hapo
kuna UISLAM na WAISLAM, UISLAM ni dini na Waislam ni watu au wafuasi wanaofuata matakwa na mafundisho ya UISLAM, hivi mfano ukisema WAKRISTO WANAFANYA USHOGA NA VIONGOZI WAO WA DINI NA KURUHUSIWA KWA NDOA ZA JINSIA MOJA ni sahihi? in philosophy we say that is fallacy i.e HASTY GENERALISATION...
sio uislamu tu, hakuna dini yoyote inayoruhusu kuua nafsi bila hatia. kwenye uislam inaruhusiwa kulipiza kisasi na inaelezwa kabisa kisasi hicho mtu alipize kwa njia gani, kwa mfano mtu kwa mtu, jino kwa jino, sikio kwa sikio. hapa nadhani hata kama ni mtu akikukata mkono naye anatakiwa kukatwa...
its real tragic and bring fear to not only Kenyan citizens but to all Africans and World in general. we believe all evils will be awarded here on earth before going to heaven. it is a pathetic situation, lets all pray together for our late brothers and sisters in Kenya, May Almighty Allah rest...
Ushawahi kusikia hata cku moja sheikh ponda kaitisha press comference pale habari maelezo?! Ni watu wa media ndo hutafuta njia ya kuuza magazeti na matangazo yao ya runinga ndo hapo wanapotafuta public figure PONDA! Anywa hebu mpeni nafasi nyie wahafidhina mumsikilize muone km kweli anapenda...
hayawi hayawi sasa yamekuwa, kamtumikia bwana katika utumishi wake serikalini na sasa kaamua ajidhihirishe baada ya kutoka madarakani. haya baba kusanya kusanya nasema kusanya tuu!! KILA ALIYE MJINGA NA AINGIE HUMUUUUUUUU!!!!
mi nafikiri mnashindwa kuelewana hapa, kwani wewe unaeamini YESU ni MUNGU, upo sahihi kwa imani yako na yule anaeamini YESU SI MUNGU pia hakulazimishi na wala hakuchunguzi unachoamini wewe ila tu yeye anainadi imani yake kuwa YESUSI MUNGU naawe endelea kumnadi kuwa ni mungu. finish!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.