Recent content by ashreybbz

  1. A

    NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    Habari zenu...mimi ni mmoja wa walioitwa last week NSSF HQ kwenye oral interview kwa ajili ya post ya OPERATION OFFICER....nilienda pale jumtanano saa kumi....according to people nilowakuta pale wakawa wanasema ati interview ni mpaka jumapili ma wengine wakawa wanasema ati ni mpaka...
  2. A

    Second interview NSSF

    Mie nimepigiwa just now...wamenambia 2nd interview jumamosi saa tatu IFM na wamenipa na serial number Jana walinitumia msg without Namba...so wale ambao wamepata msg without namba wasikate tamaa they will call you to let you know na kama hawajawapigia j'mos muwahi maeneo walowatajia lazima...
  3. A

    Second interview NSSF

    Mie nimepigiwa just now...wamenambia 2nd interview jumamosi saa tatu IFM na wamenipa na serial number Jana walinitumia msg without Namba...so wale ambao wamepata msg without namba wasikate tamaa they will call you to let you know na kama hawajawapigia j'mos muwahi maeneo walowatajia lazima...
  4. A

    Second interview NSSF

    vipi wamekutumia serial no.?@kalikumutima
  5. A

    Second interview NSSF

    hata mimi nimetumiwa meseji pia na sijapewa serial number na hiyohiyo written ss sijui vipi......inavyoonekana hapa wengine wamepewa wengine hawajapewa number.
  6. A

    Second interview NSSF

    looohhh afadhali...niakajua peke yangu ambaye sijatumiwa serial namba
  7. A

    Second interview NSSF

    mimi mwenyewe nimetumiwa meseji tu kama hiyo yako....kwahiyo mtihani huu hauna serial number kama ule wadau??
  8. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Habari zenu..jaman waloenda nssf kuuliza abt mabadiliko ya serial namba na muda...mmejibiwa vp?
  9. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Inavyoonekana zipo nying c moja@Myynna
  10. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Ok...ahsanten ndugu zangu kwa majibu yenu mazuri
  11. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    jamen kuna mtu yoyote kapigiwa simu leo kutoka nssf kufahamishwa kuwa kabadilishiwa serial number yake ya pepa??plz nijibun maana me nimepigiwa cm nimepewa serial kpya aty ile ya kwenye email niachane nayo....dnt knw f tz true or not...so n'body alopigiwa plz roho yangu itulie
  12. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    ok...thanx mapengo junior
  13. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Naomba kuuliza plz...kuna watu nimeckia wamepangiwa interview mchana na wengne sie asubuh na kuna wengine nimesikia aty wamepangiwa siku nyingine tofauti na tar.13...ss swali ni hili inawezekana kweli tuloitwa asubuh ndo wale tulosomea mambo ya public adminstration au human resource?cz ktk list...
  14. A

    Maswali ya interview walioitwa NSSF

    Hata me nashangaa...jaman tuachane na mambo ya udini kama ni ridhiki ya mtu kupata atapata tu no matter what...mambo ya dini tuwekeni kando tudiscuss kuhusu hcho cha jumamosi
Back
Top Bottom