Recent content by Ashraf omar

  1. Ashraf omar

    Faiza Ally atupia picha akiwa anazalishwa, kibumbu chote nje

    Hii mitandao inawadhalilisha wanawake karne hii, kama instagram ni balaa sana: na hiz smartphone ndo hatari zaidi haswa vitecno
  2. Ashraf omar

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Interview ya dr lazima ubaki na maswali mengi sana... dr anasema ndugu inawezekana hawana mawasiliano nae kwa maana hawana namba yake je kashindwa kuwatafuta hali yeye amerudi... Dr aliishi maishi ya kimachale ila aliweza kurudi spain na akaishi sasa cjui aliondoka kwa njia gani maana alisema...
  3. Ashraf omar

    Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Mzee mbwa wa kubaniwa pumbu ni wa kirussia sio hawa wetu wakiona hata panya wanabweka tu
  4. Ashraf omar

    Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

    Jamaa kaongea kitu ambacho binadamu wakawaida huwezi kuongea.
  5. Ashraf omar

    Asilimia 67 ya watanzania wanatumia ARVs

    Tucheze salama masela, hii 67 itaijua zaidi ni kweli wakati washauri wanakuomba ukubaliane na hali
  6. Ashraf omar

    Cristiano Ronaldo auza tuzo yake ya Ballon d'Or

    Kwani huyo kajionesha au kaoneshwa...mzee unaelewa mnada kweli ebu ingia chumbani kwako fanya mnada basi
  7. Ashraf omar

    Mwanza: Fiesta yasababisha Mechi ya Simba na Mbao kuchezwa Alhamisi

    Ngoja nikachangie damu tuokoe maisha
  8. Ashraf omar

    Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

    Huyu jamaa hapa anajifunga kwa maneno yake na dhahiri inaonekana alielewa vizuri tu kuwa hili neno sindelela linalenga wapi 1. Anasema hafuatilia bongo fleva wakati hapohapo ana mstari wake na analijua kuwa kuna kiba na mond na ni wa pinzani wa hali juu na akawaongelea kwenye mistari yake sasa...
  9. Ashraf omar

    Haya ndiyo maswali 22 ya DC Hai kwa walimu yaliyopelekea Mwalimu kuwekwa Selo

    'Mwalimu anajua kila kitu' *minded* Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Ashraf omar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Ashraf omar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzee naomba mkeka wako wa leo Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Ashraf omar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mbona sizioni hizo mnapita njia gani Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Ashraf omar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Duuuuh Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Ashraf omar

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naomben mkeka wa leo fuata nyuki nile asali Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom