Recent content by ashera

  1. A

    Flaviana Matata kama model kwenye brand kubwa ya nguo Marekani

    Mbona picha nzuri tu hii inabamba
  2. A

    Flaviana Matata kama model kwenye brand kubwa ya nguo Marekani

    Leo nimeenda duka kubwa la Target nikakuta bango la Flaviana Matata kama model kwenye brand ya nguo marekani ndani ya duka hili kubwa nikaona isiwe tabu nichukue foto kumuenzi binti yetu huyu anayeipeperusha bendera yetu kimataifa. Hongera Flaviana nimefurahi kuona mtanzania mwenzangu...
  3. A

    DOKEZO Responded Kunguni wanatutesa Wanafunzi tunaolala kwenye mabweni ya UDOM

    CCM ndo wa kulaumiwa, chuo kinaendeshwa kisiasa. Kwa kweli ni mateso nadhani hata jela Kuna nafuu kuliko hawa kunguni
  4. A

    Watu wa Arusha kuanza kutumia jina Tanganyika badala ya Tanzania ikoje?

    Mimi ni Mtanganyika. F...ck Zanzibari
  5. A

    Rais Samia yuko wapi?

    Nchi ya kifala sana hii. Samia anafikiri urais ni kama kucheza taarab
  6. A

    Baba adaiwa kumuuza mtoto, asafirishwa kwenda Canada, mama abaki analia akizunguka kuomba msaada

    Kitendo cha muhindi kumchukua mtoto bila ruhusa ya mama yake. Yani hata hajataka mtoto kumuaga mama yake. Hiyo tu inaonyesha muhindi hakuwa na nia njema kwa huyo mtoto na wala hampendi na kafanya kitendo kikatili sana. Mungu amlinde mtoto maana yupo katika hatari kubwa sana maskini
  7. A

    Gharama za matibabu ya wafanyakazi wa ndani wauguapo ni jukumu la nani?

    Sasa unamfatiliaje kwa mfano? Ulitaka nimuulize kama anaingia kwenye siku zake kila mwezi? Nimkague tumbo?
  8. A

    Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

    Hili nalo litapita ni upepo tu Sent from my moto g power using JamiiForums mobile app
  9. A

    Bobby Brown amefikisha miaka 54. Kheri ya kumbukumbu ya kuzaliwa Bobby

    Mtoto wa Bobby alikuwa anaitwa Kristina alifariki kifo kama cha mamake Whitney Houston
  10. A

    Nini hasa lengo la kumzika marehemu jirani na nyumba au katikati ya uwanja?

    Huo ni uchoyo na ubinafsi. Hujui kuwa nyumba kama hiyo inakuwa haipangishiki au kuuzika?. Je hufikirii kuwa ipo siku mkeo au watoto wako watahitaji kuipangisha ili wapate matunzo? Hujui kuwa nyumba iliyokuwa na kaburi ni useless? Kwa nini usizikwe kijijini kwenu au kwenye maeneo yaliyotengwa ili...
  11. A

    Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

    Cha kusikitisha watu hilo hawaoni. Yani sijui wanataka mjane wa watu aishije maskini itabidi tu aanze upya. Wanawake wa kitanzania wanateseka sana na hawana pa kukimbilia
  12. A

    Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

    Inasikitisha kuona ni jinsi gani jamii ya kitanzania ilivyopotoka na yenye roho mbaya. Mbaya zaidi wanawake wote humu wako mstari wa mbele kumkandamiza mwanamke mwenzao. Tuna safari ndefu sana wanawake wa kitanzania maana si kwa manyanyaso haya. Yani watu hawafikirii hata huyo mtoto kwamba...
  13. A

    Timu inayochukua Kombe la Dunia ni lazima iwe na wachezaji hawa

    Dah miaka minne ni mingi sana wapunguze miaka. Nitalimis sana kombe la dunia mpaka nahisi kuumwa. Hongera sana Messi na Argentina mmepigana vita vikali mmestahili. Mbappe nakupenda sana ingawa leo nilitaka Argentina nao waonje raha ya ubingwa maana wewe ulishaonja 2018. Kikosi kizima cha...
Back
Top Bottom