Recent content by Ashangedere

  1. A

    JamiiForums Tanzania nani wa kuwanae kimaisha jamani

    Kaka CG hujampata tuu? mmmmh pole sana aisee. wewe tatizo lako unachagua sana, utapata koroma HAAHAHAAA
  2. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

    Kaka CG hebu tupe uzoefu wako mpaka hapa umepata PM ngapi, na je uliowapata vipi wamemeet expectations zako au wameexceed au wako below ur expectations. nataka na mimi nitafute kwa njiahii ila sasa vigezooo!yani viko kibaaaaooo! JF watanitoa baruuu! hebu mwaga uzoefu kaka CG
  3. A

    JamiiForums Tanzania Natafuta Rafiki Wa Kike Wa Kumjali

    Nimechelewa mwenzenu nilikuwa wapi!!
  4. A

    JamiiForums Tanzania Wasichana wa Tanzania wanawapenda wanaume wa Kenya

    Umekosea sana,, wanaume wa kikenya ndio wanawazimikia wanawake wa kibongo!
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

    hivyo vitu vyeupe kama uji ni uchafu kaka, hajui kujisafi huyo
  6. A

    JamiiForums Tanzania Kuna hiki kiumbe lakini cha ajabu hapa duniani

    Duu sasa ndoa ya kazi gani hapo? bora kuwa mchuna buzi maisha yenyewe yako wapi??!! aaaiii.
  7. A

    JamiiForums Tanzania hivi nyie wamama kwanini hampendi kujulikana kama mumezaa??

    Nina watoto wawili wazuri ila ukiniona utasema sina hata mmoja kwa jinsi ninavyo jikeep, huwa naona ufahari sana kutembea na wanangu na kuwaambia watu kuwa mimi ni mama wa wawili na nafurahi zaidi pale wanapobisha kuwa siwezi kuwa na mtoto hata mmoja.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Je kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu?

    Actually mimi naichukulia very positive, zamani kulikuwa na misingi ya ndoa ambayo ni tofauti na mapenzi, wake kwa waume walipenda kusifiwa kwa kukaa muda mrefu kwenye ndoa so walikuwa wanavumilia hata machungu yawe vipi lakini siku hizi wanawake tumeelimika, wanaume they dont give a damn sijui...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    Mie mwanamke!
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    Nawapa taarifa great thinkers unamlaani mwanaume, unataka mwanaume, nakuhakikishia na ukimwi utaupata na hao watoto ndo watakuwa wakiwa, kwani wewe dada vipi, si usepe ukae na watoto wako, hakuna mwanaume yeyote atakayeweza kukutuliza moyo wako, usipojituliza mwenyewe umekwisha. You are very...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    Huyo hawi introduced kwa watoto mambo ni chini ya carpet, watoto hawatajua kitu, hana ruhusa ya kuja nyumbani kwangu labda watoto wasiwepo.
  12. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    Watoto wangu nawalipia ada mwenyewe tena kwa marefu na mapana hata nisipopata back up namanage maisha yangu mahitaji yote vizuri sana,, lakini lazima niwe nyumba ndogo kwanza ndio baadae nije kuwa single, roho yangu ndio itatulia.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    Atajijua mwenyewe I hate men, I have nothing to loose ajue asijue yote sawa tu.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    For your information nimekuwa nalipa hizo ada mwenyewe, matumizi mwenyewe plus kumlisha huyo bwana mwenyewe so imagine nikiwa nyumba ndogo, napewa vyote hivyo na watoto sio wake tena ni 1 call tu hakuna kusumbuana ada matumizi yanaletwa fastaaa, maana anajua akiharibu zitafika
  15. A

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kutoka nyumba kubwa na kuingia nyumba ndogo

    Im ready to be responsible for any outcomes< I swear I wont regret
Back
Top Bottom