Recent content by Ashamery

  1. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Habar, Alhamdulillah Mungu ni mwema nami jina langu Leo limetoka usaili wa oral nilifanya tareh 20.1.2024 Mungu ameniona Leo, Mungu awatangulie jaman msikate tamaa
  2. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hawa wamechanganya mafaili Kwa sababu Kuna afisa ustwawi wa jamii msaidiz wamefanya tarh 7 mwez wa 1 mwaka huu na majina yameanza kutoka
  3. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Sas si wangesema tu waliotwa taasisi mbalimbali mtu akikuta kada za walimu mwengine hafungui
  4. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hizi pdf za walimu lakin ukifungua unakutana na kada nyengine sijui hii imekaaje
  5. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Na je ikitokea watu wa utumishi wakakupigia sim kujitambulisha na wakakuambia chet Chako Cha form four hakionekan vzur uscan then wanakupa email ukitume tena je na hao ni matapeli?
  6. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Yaan umeshafanya usaili halafu wanakupigia sim ufanye mpango wakuingize kwenye placement sio!?
  7. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Unamaanishaje
  8. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Boss iv ulifanyaga interview nyengne au ndo Ile ya 2023
  9. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kumbe utumishi sio wa kuwatia tamaa yaan wanaitwa watu kutoka mwez wa 6 2023!?
  10. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    2023 au 24
  11. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera sana boss, interview ulifanya mwaka Jana mwez wa ngap!?
  12. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna pdf uko
  13. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndugu hujakata tamaa tu, me nmechoka kusubri😭
  14. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mmmh mbona hzo pdf znazotoka account na procurement ni wachache sana
  15. Ashamery

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Iv jaman database huwa ina expire baada ya mda gani?
Back
Top Bottom