Recent content by asha mushi

  1. asha mushi

    Shukrani kwa jf.

    Jf naamini kuwa ni watu wenye ushauri Nilikuja kwenu kuomba ushauri kuwa mapenzi yananiumiza nifanyaje ili nisiumie lkn nikapewa ushauri mzuri na kuanza kuufatilia hatimae now niko vizuri namshukuru mungu. Nasema ahsanteni mnenisaidia maana nilikuwa kwenye hari ngumu saana kwel ukiacha hisia...
  2. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Hongera saaana
  3. asha mushi

    Sina bahati ya kupata mwanaume mwenye kipato, tatizo ni nini?

    Nyuma ya mwanaume alie fanikiwa kuna mwanamke Kwahy hata wewe huyo asie kuwa na kipato una weza kumfanya awe na kipato maisha ndo yapo ivo.
  4. asha mushi

    Msichana unatakiwa ku mshamba fulani

    Kwakwel cjaifatilia saiv
  5. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Aya asnte ntajitaidi niache.
  6. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Asnte but me ni mwanamke nimejifunza mengi kutokana na point zako asnte ntajitaidi nifanye ivo
  7. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Duuuh sh.ngapi coz cyo mateso ninayo yapitia
  8. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Asnte jaman yaaani ntajitaidi nione ya kawaida maana
  9. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Ni kwl but ili la kupenda halipingiki
  10. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Asnte kwa ushauri ntajitaidi japo daaah
  11. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Mapenzi yananing'ang'ania
  12. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Hahahaha daaaah
  13. asha mushi

    Mapenzi yananitesa

    Jf naomba ushauri kwani kuna dawa ya kuacha kupenda au kutokuumia ukiacha maana nateseka sana mapenzi yamekuwa changamoto saana kwangu naomba nisaidieni jamani nimechoka na hii kitu inaitwa mapenzi nataka niwe mwenyewe nifanye mambo yangu.
  14. asha mushi

    Huyu msichana mimi simuelewi

    Me kwa mtazamo wangu nakushauri usikilize moyo unasemaje tunaweza kukuambia kuwa umwache but hatujui wewe moyo na nafsi yako vinakuendesha vip kuhusu huyo mwanamke Msikilize na kama kakiri kuwa amekosa na hatoludia msamehe uenda atabadilika kutokana na makosa yake Mala nyingi wanawake huwa...
  15. asha mushi

    Huyu msichana mimi simuelewi

    Me kwa mtazamo wangu nakushauri usikilize moyo unasemaje tunaweza kukuambia kuwa umwache but hatujui wewe moyo na nafsi yako vinakuendesha vip kuhusu huyo mwanamke Msikilize na kama kakiri kuwa amekosa na hatoludia msamehe uenda atabadilika kutokana na makosa yake Mala nyingi wanawake huwa...
Back
Top Bottom