Recent content by ASEAN

  1. A

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii waliotoa hit moja kali kisha wakapotea kimyakimya

    Wadau tunaomba mtuwekee na audio za nyimbo hizo Ili tufaidi ladha ya zamani.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Nukuu za kutafakarisha leo

    Get money with your mind, not with your time.
  3. A

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye mali na vitu vya minada: Jifunze toka kwangu ujiokoe na mengi

    Hongera Mshana Jr kwa mada nzuri sana.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa Mimea Tiba inayotuzunguka majumbani

    Kambi naweka hapa
  5. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    nimejaribu kufuatilia katika usomaji naona kama kuna vitu vinarandana Ila nitahitaji msaada wako Nimeangalia nyota tatu 1.Tarehe na mwezi wa kuzaliwa ( mshale) 2.Herufi ya kwanza ya jina ( ng'ombe ) 3. Jumla ya jina la muhusika ukijumlisha na jina la mama yake kwa kuitumia abjdi ( samaki)...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Sawa ingawa nomekumbuka kuna île ukiandika kuhusu mwnamke kuvaa shanga iliyotungwa kwa Uzi laini , ikakatika katikati ya mchezo
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Link please
  8. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Naona kutembea na Nyota ya mtu sehemu ya pili Je yakwanza je?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    I looks ( no) It looks (yes) Grammar collection (no) Grammar correction (yes) Usichoke kumsahihisha kwa busara , Mungu atakujalia .
  10. A

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ataziweza 'fitina za Watanganyika'?

    Nakala kwa Polepole
  11. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    "Emphemeris ya mwaka husika" asante sana ndugu. kuna vitu ving umenifungua macho. 1.kwenye kitabu hcho niliona kila sayari na siku inazotumia kwenye mzunguko 2.pia naomba nijue nitapateje hiyo emphemisis ya mwaka.?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Nimesoma kwenye kitabu kingine nimekutana maneno haya kuhusu uukufu wa kaukabu. mushtara ina daraja/siku 9. marikh siku 8 shamsi siku 15 zuhura siku 9 awaridi siku 9 qawari siku 10 mwandish akaendelea kusema idadi hizi ni kabla kaukabu haijaondoka katika burui inakuwa imedhihiri pamoja na nuru...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa nyota kila siku

    Ndugu kuna vitu viwili vinanisumbua cha kwenye utukufu wa nyota. utukufu wa zohali ni tarehe 21 kwenye nyota ya mizani utukufu wa mushtara ni tarehe 15 kwenye nyota ya kaa. utukufu wa markhi ni tarehe 28 kwenye nyota ya mbuzi utukufu wa simba ni tarehe 19 kwenye nyota ya punda Utukufu wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Watu wako serious —baada tu ya kujifunza na kujua faida zake wameanza kuyapanda majumba. Huu mmea unasurvive popote

    tupia mmea huu kwenye uzi wetu penda ule wa mimea tiba. naomba link ya ule uzi wa utabiri wa nyota za kila siku... Kuna swali nataka kukuuliza kule.
Back
Top Bottom