Recent content by ase

  1. ase

    JamiiForums Tanzania Natafuta Bajaj

    Habari ndugu zangu.mimi nafanyia shuguli zangu mikoani ila nataka nije dar nitafute bajaj iliyotumika ila iwe bado nzima inatembea.sababu naona dar zipo nyingi.mwenye nayo anichek what sap 0757 539994
  2. ase

    JamiiForums Tanzania Aina gani ya Madini inapatikana kwenye eneo unaloishi/Unalotoka au unalolifahamu!

    Mkuu nisaidie details kidogo nataka kuja huko endabashi kununua dhahabu zinapatikana?
  3. ase

    JamiiForums Tanzania Albert Msando, Mwanasheria wa Zitto, Kitila na Mwigamba Kuunguruma kesho Serena 4.30 asbh

    Watakua wanaelekezwa na magamba hao sio bure.
  4. ase

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu

    Ipo nokia x2 nitafute kwa no 0757539994
  5. ase

    JamiiForums Tanzania Ipod kuzimika gafla.

    Jamani habari za saa hizi.ipod yangu nilikua naitumia nikashangaa inazima gafla.kwa wataalam inaweza ikawa na shida?
  6. ase

    JamiiForums Tanzania Damu kutoka wakati wa ujauzito

    Jaman habari za asubuhi?mimba yangu ni ya miezi miwili na wk moja.lakn leo asubuhi nimeshangaa kuona damu kidogo inatoka.je inaweza ikawa nitatzo madokta?
  7. ase

    JamiiForums Tanzania Roulette and Makedha: French for begginers

    Bonjour monsien Russian roulete.j'espere vous me conaitez bien.parcque nous parlions daniere anees.pour utiliser jf.je continuent aprendre français ici arusha.parcque je veur etre tour guide.mais je veur plus practique.mercibouk.
  8. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    nilitegemea ndio maana nikauliza ndg yangu,
  9. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    Sio uoga jaman.nimeolewa kabisa ila ni furaha tu coz mamkwe na mawifi walishaanza kunisumbua.
  10. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    Nikriview my history naona inaenda sawa,asante kwa ushauri.
  11. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    Siamini
  12. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    Asante kaka
  13. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    Sijakuelewa kakangu.toa maelekezo zaidi,
  14. ase

    JamiiForums Tanzania Hii ni mimba nini

    Jaman za hasubuhi?mim mzunguko wangu wa siku ni siku 34.sasa juzi umefka muda wa kuona siku zangu nashangaa niliona vidamu vidogo nikipangusa,alafu baada ya siku kama 2 vikakatika.naomba msaada wenu jamani,inaashiria nini?
  15. ase

    JamiiForums Tanzania French Playground

    Dessole merci Rusian roullete.ecouter mon stoire.je parler francais un peu.mais je veir a continuer apprendre pour uttiliser practque.cet vrais?
Back
Top Bottom