Damu kutoka wakati wa ujauzito

ase

Member
Apr 11, 2011
38
6
Jaman habari za asubuhi?mimba yangu ni ya miezi miwili na wk moja.lakn leo asubuhi nimeshangaa kuona damu kidogo inatoka.je inaweza ikawa nitatzo madokta?
 
pole sana ila kutoka damu wakati wa uja uzito sio dalili nzuri.mimba nyengine huwa ni dalili ya mimba kutoka.huanza kutoka damu kidogo,siku ya 2 au ya 3,damu huwa nyingi.pamoja na maumivu ya tumbo kama la period.ila kuna mimba nyengine,damu hutoka kidogo na mimba huwa salama kabisa.muhimu kaonane na daktari wako na ukafanyiwe scan,ikibidi na blood test
 
  • Thanks
Reactions: BAK
....Pamoja na kuwa kunaweza kuwa hakuna tatizo lakini si dalili nzuri kutoka damu wakati wa uja uzito. Nenda kamuone Dr haraka sana ili akuhakikishie kwamba kila kitu kiko shwari.
 
...Unaweza kuwa unasumbuliwa na implantational bleeding; embryo inakuwa "inajikita" katika kuta za uterus. Hii huwatokea wajawazito wengi katika miezi 3 ya mwanzo ya ujauzito. hata hivyo,nakushauri uende hospitali kwani tafiti zinaonyesha kuwa karibia 50% ya wajawazito wanao toka damu huishia kupoteza ujauzito. Unawezakusoma zaidi hapa............
http://www.emedicinehealth.com/pregnancy_bleeding/article_em.htm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom