Kamanda dr slaa namfananisha na MUSSA aliyeambiwa na MUNGU akawaokowe wanawaisrael kutoka misri kwenye nchi ya utumwa na kwenda nchi ya ahadi humo njiani walikutana na vikwazo vingi sana sasa ndo kamanda slaa MUNGU atamlinda kwani maombi ya watanzani wengi ni kumuombea uhai wake na watashindwa...
Hakuna chama kitakachokuja kutawala milele duniani hakuna na ccm nayo itapotea tu,si kwamba ccm hawajuwi iko siku hawatakuwa wao madarakani wanjuwa sana ila wanaogopa sana kufungwa na kutaifishwa mali zao za wizi walizowaibia watanzania na siku chama kingine kikiingia ni kuwatimuwa kupeleka jela...
Mwendo wa chadema ni mzuri sana kiongozi akikiuka katba ya chama nkufukuzwa tu ili mtu akija mwingine ajuwe style ileile kuwa nikikosea utaratbu napigwa chini,naomba hii iendelee ili tujenge utamaduni wa kuwa wazalendo hasa kutumika kwenye uongozi kwa manufa ya umma.
Hivi ccm ya nini kwa sasa? Haina dira kabisa wamebaki kujibu hoja za wenye akiri badala ya kufanya kazi ya kufanya kazi.waombe MUNGU wasitoke madarakani,wakitoka wanaume wakaingia mafisadi wote nikuwachukuwa na kuwapeleka gerzani na familia zao wakazalishe kabisa na kuyafilisi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.