Si anayajua matatizo yetu kabla ss hatujayajua kwa nn asitende kabla ya tatizo kutokea..
Kwa ninavyo jua miujiza ni temporary works of god..nn ilikuwa sababu hasa ya kuomba? Kwani miujiza hyo ukisha ipata ndio mwisho wa kuomba
Kama kuongeza maslahi ni kuongeza mishahara endelea kuelewa hivyo..ni watanzania wangap wanaolipa bili kubwa za maji bila ya hata hayo maji kutoka.? Madawa yatapatika kulingana na mahitaji ya bajet ya zahanati husika
Sio hospitali ya serikali dawa hakuna na Pharmacy nje ya hospitali dawa zipo
Qn1. If god can do anything at anytime why prayer? Na kwanni wanafunzi wa Yesu waliombwa wafundishwe kusali tu na sio kutenda miujiza?
Qn2. Nielezee kuhusu inner parts of god."TRINITY".
Kuboresha maslahi ya Polisi, walimu,na wanajeshi, maji umeme, madawa yanahitaji miaka 5? au viwanda karibia nchi nzima ndo vitahitaji miaka5..Siku mia ni reasonable kwa vipaumbele vya mzee wetu
Tanzania ya magufuli itakuwa ni ya viwanada Nyingine ni kusimamia nishati ya gesi, ujenzi wa barabara, reli, kuboresha sekta ya utalii, kuimarisha uwekezaji, kuwasaidia walemavu itawezekana wakati bajeti ishapitishwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.