Recent content by arusha safi

  1. A

    JamiiForums Tanzania Fastjet sio lowcost tena, why?

    samahanini wakuu. mbona mimi nilikata mwezi uliopita ya Dar-kilimnnjaro ya mwezi wa saba nikatozwa sh 108,000/-. au nimeibiwa? nijuzeni
  2. A

    JamiiForums Tanzania Toyota land cruiser hard top inauzwa

    mimi nahitaji lakini nataka kujua engine gani na pia je ni spring coil mbele au?
  3. A

    JamiiForums Tanzania Tenzi za Rohoni

    shalom. weka namba zako nikutumie kwa whatsap au nenda klick application ya playstore andika tenzi za rohoni na fuata maelekezo ya instalation.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Mwanajeshi na Polisi kutolipa nauli?

    ni kweli kabisa inakera, daladala na vyombo vingine vya usafiri ni biashara kama biashara zingine. kama vile duka, hoteli, bar, n.k lakini iweje huyu wa vyombo vya usafiri agandamiziwe chini? ni bora waziri angetangaza hawa maaskari wao wasilipe chochote hata dukani, hotelini, bar, hata vifaa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali, kuna anaemjua huyu dada ? Very urgent

    hayo yanaqezekana ila inatwgemea aina ya simu na setting ya simu ulivyoiseti kabla haijaibwa. kwa wale wanatumia smart za samsung ni rahisi mbona tu.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Majina mengine ya Mungu

    Mungu aliyeziumba mbingu na nchi anaanza na herufi kubwa na sio mungu
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vijana Kwanini Tumeacha Kwenda Kwenye Nyumba Za Ibada?

    shalom. mimi nimeguzwa na mchango wako. usikatishwe tamaa na watu wasio waadilifu kwa Muumba wao. hautakuwa salama kwa sababu eti fulani alinivunja moyo, njia ya wokovu ni Yesu. yohana 14:6. Ibada ya pamoja ni muhimu sana, pamoja na kuwa wamekuwepo watumishi wengi wanaotumia nafasi zao za...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

  9. A

    JamiiForums Tanzania Soma maajabu ya mwezi wa 8 mwaka 2014

    nina mashaka na hiyo kalenda yako. ya wapi hii?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Eti leo sherehe za Eid zimeanza?

    tujuzeni nasie
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    #6 matusi
Back
Top Bottom