Recent content by arusha nalompa

  1. arusha nalompa

    Wizara ya Elimu yasema haihusiki na ajira za walimu

    Bora ningezaliwa somalia kwenye vita kuliko tz yenye amani nchi ya kishenz hii
  2. arusha nalompa

    Tangazo la kutuma vyeti limeondolewa?

    Labda anamaanisha kitu kingine hata kama ni wewe lazma ujiulize maana matangazo mengine huwa hayatolewi
  3. arusha nalompa

    Waalimu wa science tukutane hapa!!!

    Isue hela tuu nyie acheni utahira wa kuringia cozi..kuna madaktari bingwa maisha yao ya kishenzi tuuu pia kuna maprofesor wa hiyo sayans maisha yao bora ya mmachinga k.koo..acheni ungese
  4. arusha nalompa

    Serikali yatangaza ajira za Waalimu wa Sayansi na Hisabati kwa Shule za Sekondari

    Magazeti bhana kwa kutunga story sasa kwenye speech yake mbona hajatatamka kuwa amefuta bali kazungumzia mfumo mpya wa kuajiri walimu
  5. arusha nalompa

    WALIMU WA HESABU NAOMBENI MSAADA HAPA

    Andaa tuu mwenyewe mwalimu au muhtasar wa hesabu hauna tukupatie
  6. arusha nalompa

    Ajira 70000 serikalini zaanikwa wazi

    Hivi wanaopinga taarifa kuwa ni uzushi ni wahanga wanaosubiri ajira au..nimegundua ubishi ni nature yetu watz
  7. arusha nalompa

    Tetesi: Waliokuwa wanasomea ualimu wakiwa na ufaulu wa div 4 kurudishwa nyumbani

    Acha upuuzi wewe mbona unaropoka kwa kitu usichokijua ujaona mtu chuo anaGPA ya juu lakini TP ana D
  8. arusha nalompa

    Tetesi: Waliokuwa wanasomea ualimu wakiwa na ufaulu wa div 4 kurudishwa nyumbani

    Daah mungu akusamehe tuu maana mwalimu ndo kakufanya uweze kuandika huo upuuzi wako hapo juu
  9. arusha nalompa

    Ajira za walimu 35 elfu ni kwa mwaka wa fedha 2016/17 au 2017/18?

    Wanaweza kuajiri kwa mkupuo ila kwa walimu wa msingi tuu kama mna kumbukumbu vizuri mnamo mwaka wa masomo 2014_2016 serekali ilifuta ualimu ngazi ya cheti hivyo vyuo vya serekali havikudahili wanachuo wa ngazi ya cheti..vyuo vya private pekee ndio vilidahili na kupewa ruhusa kwa mara ya...
  10. arusha nalompa

    Tatizo kwenye ada za mafunzo ualimu

    Kasome wewe acha kulalamika hiyo ada ndogo mno
  11. arusha nalompa

    Who is sodoka in JF?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  12. arusha nalompa

    Who is sodoka in JF?

    Mwenyekiti wa ccm mkoa wa dodoma
  13. arusha nalompa

    Hii shahada ya special Education inapatikana chuo gani?

    Kuna hiki cha PATANDI HAPA ARUSHA kipo tengeru
Back
Top Bottom