Waalimu wa science tukutane hapa!!!

Waalimu wa science tukutane hapa!!!

Lengo la post ni kuanzisha trade union ya walm was sayansi, ushaur wangu

1. Kama sio mwl wa sayans pita
2. Walm was sayans wajadil namna ya kufanikisha azma hii

Nawasilisha
Hoja ya kitoto hii, kwani mwalimu wa sayansi ndo nani? Me naona ni mwalimu tu kama alivyo mwalimu wa sayansikimu na uraia. Kwanza walimu wenyewe mna div 3 na 4 , mngepata div 1 au 2 mngekuja kwenye kazi za ukweli hivyo muache kabisa kuwadharau walimu wenzenu.
 
Umenena vema mkuu, uliingia huko ikiwa ni kutekeleza wajibu wako sasa uache masuala ya kujiita mwalimu wa sayansi pale uteteapo masilahi katika kazi yako. Walimu wote mna haki sawa, ndani ya viongozi wa CWT wamo wanasayansi hivyo wanafahamu vema kufikisha haja zenu. Unaposema muunde umoja wenu kama walimu wa sayansi na uwe na nguvu kama ilivyo CWT huko ni kupotoka kwani baada ya hapo mtaamua muunde umoja wa walimu wa physics tu wenye nguvu sawa na CWT, hamtaishia hapo ata Biology, Geography, Chemistry, Mathematics, Kiswahili......watataka kuunda umoja kwa kila somo tena wenye nguvu ileile ya CWT. Kuwa makini kijana, ni vema kama maoni yako yangekuwa ni kuwakutanisha walimu wa sayansi na kujadili yanayowakabili ili myapeleke CWT ili wayafanyie kazi, hili la kuunda umoja mwingine si sahihi, kwa wadhifa nilionao ningebahatika kukutana na wewe lazima ningekucharaza viboko.
Hahahaaaa,aisee,eti "kwa wadhifa nilionao........,lazima ningekucharaza viboko," mshazoea kuwaonea walimu wa primary eeeh,thubutu kunigusa,hakikisha eneo hilo lina majani pekee,pasiwe na miti wala mawe,vinginevyo utanijua vizuri!
 
Hoja ya kitoto hii, kwani mwalimu wa sayansi ndo nani? Me naona ni mwalimu tu kama alivyo mwalimu wa sayansikimu na uraia. Kwanza walimu wenyewe mna div 3 na 4 , mngepata div 1 au 2 mngekuja kwenye kazi za ukweli hivyo muache kabisa kuwadharau walimu wenzenu.
Halafu ukumbuke,hoja yetu sio kupora mamlaka ya CWT,wao wataendelea na majukumu yao lakini sisi lengo letu ni kujadiliana na serikali yetu juu ya mambo muhimu yanayohusiana na sayansi pekee,kwa hiyo tunapojadili mambo yetu haina maana ya kuwadharau walimu wa Arts,that is why katika sekta ya afya utaona kuna umoja wa manesi,umoja wa madaktari wa macho,meno,Pharmacists,na wengineo,kwa hiyo sio nongwa walimu wa science kwa ujumla wao kuunda chombo chao kitakacho deal na mambo yao!!!
 
Hahahaaaa,aisee,eti "kwa wadhifa nilionao........,lazima ningekucharaza viboko," mshazoea kuwaonea walimu wa primary eeeh,thubutu kunigusa,hakikisha eneo hilo lina majani pekee,pasiwe na miti wala mawe,vinginevyo utanijua vizuri!
Hizo stori tu ...walimu wote ni waoga hakuna cha wa-primary wala sekondari. Kwenye hii sekta ndiko watendaji tupendao sifa huwa tunapatia ujiko kwa sababu nikitaka kuwacharaza nawacharaza tu, sijui na tuvyeti twenu fake ndo huwa tunachangia muwe waoga.
 
Halafu ukumbuke,hoja yetu sio kupora mamlaka ya CWT,wao wataendelea na majukumu yao lakini sisi lengo letu ni kujadiliana na serikali yetu juu ya mambo muhimu yanayohusiana na sayansi pekee,kwa hiyo tunapojadili mambo yetu haina maana ya kuwadharau walimu wa Arts,that is why katika sekta ya afya utaona kuna umoja wa manesi,umoja wa madaktari wa macho,meno,Pharmacists,na wengineo,kwa hiyo sio nongwa walimu wa science kwa ujumla wao kuunda chombo chao kitakacho deal na mambo yao!!!
Ungeni muone kama mtasajiriwa labda kama huu wadhifa nilionao haunipi mamlaka ya kuwabambikia makesi. Kwa vile mtakuwa mmeitibua na hiyo CWT hivyo hamtakuwa na mawakili, mtakiona cha moto. Ni muda wa ubabe tu huu hakuna namna.
 
Sasa tuogope nini wakati ni hali yetu kikatiba,tunaunda umoja wetu na kama una wadhifa huo unaojitapa nao huku utatuhudumia tu,mana mana mana hauna namna ya kutukwepa!!!habari ya wakili haitupi shida coz hatutakuwa na sababu ya kutafuta mawakili,miongoni mwetu kuna wabobezi wa sheria!!!
 
Serikali yetu ya Tanzania inachukua mda sana kusikiliza kila tatizo kwa mtu mmoja mmoja na wakati mwingine husikilizwi kabisa. Ikiwa ni kikundi basi litakua jambo jema sana na nawahakikishia mkiwa pamoja matatizo yenu yatatatuliwa. Kila la kheri
 
Ahsante kwa mchango wako Mkuu!!
 
Askari wapo wengi. Kuna askari polisi, jeshi la wananchi na migambo. Hata hivyo ktk kila kundi la askari, kuna vijikundi vingine vidogovidogo. Hivi vikundi vidogodogo vinafanya kazi tofauti.

Pia hata walimu wamegawanyika. Kuna wa shule ya msingi, o' level, a' level na vyuo(japo wao wanajiita wahaziri).
Walimu wa chuo wakijadili maswala yao, wewe wa shule ya msingi, kaa kinya. Hayakuhusu.

Vile vile kuna walimu wa sayansi na wa sanaa. Hawa ni tofauti kulingana na aina ya masomo wanayofundisha na baadhi ya shughuli mbali na kufundisha.
Ni kwel wote ni walimu, ila miongoni mwenu kuna wasioweza kufanya shughuli za maabara. Sasa wanaoweza kufanya shughuli za maabara wakijadili yao, wewe usiyeweza yanakuhusu nini. Ukiambiwa hayakuhusu, unasema wote ni sawa. Kama wote ni sawa, nenda na wewe ukahudumie maabara ili tuone usawa wetu!
 
Askari wapo wengi. Kuna askari polisi, jeshi la wananchi na migambo. Hata hivyo ktk kila kundi la askari, kuna vijikundi vingine vidogovidogo. Hivi vikundi vidogodogo vinafanya kazi tofauti.

Pia hata walimu wamegawanyika. Kuna wa shule ya msingi, o' level, a' level na vyuo(japo wao wanajiita wahaziri).
Walimu wa chuo wakijadili maswala yao, wewe wa shule ya msingi, kaa kinya. Hayakuhusu.

Vile vile kuna walimu wa sayansi na wa sanaa. Hawa ni tofauti kulingana na aina ya masomo wanayofundisha na baadhi ya shughuli mbali na kufundisha.
Ni kwel wote ni walimu, ila miongoni mwenu kuna wasioweza kufanya shughuli za maabara. Sasa wanaoweza kufanya shughuli za maabara wakijadili yao, wewe usiyeweza yanakuhusu nini. Ukiambiwa hayakuhusu, unasema wote ni sawa. Kama wote ni sawa, nenda na wewe ukahudumie maabara ili tuone usawa wenu!
 
Habari za asubuhi wadau,nimetafakari sana juu ya mambo yanavyokwenda katika sekta yetu ya elimu,hususan kwa waalimu wa science.
Baada ya tafakuri yangu kwa muda mrefu,nimegundua kuwa,waalimu wa science tunapaswa kuwa na umoja wetu,nje ya CWT,kwani CWT haiwezi kutusaidia kabisa kwa changamoto zinazotukabili.
Katika ajira zilizotolewa na serikali kwa waalimu,kwa mwaka 2015 ziliambatana na ajira za wataalamu wa maabara,kwa ajili ya practicals,lakini tukumbuke kuwa kabla ya kuletwa kwa wataalamu hao wa maabara,walimu wa science ndio walikuwa wanafanya majukumu yote,practicals & theories,(hapo pana tatizo,kwani tumekuwa tunafanya kazi mbili kwa malipo yale Yale).
Kuna changamoto lukuki,ambazo sisi kama wana science tunapaswa kukaa kwa pamoja,kuzijadili,na kuziwasilisha kwa serikali yetu,ambayo inaonekana wazi kuzingatia sana utaalamu na sio siasa,(ushahidi wa hili ni pamoja na uteuzi wa waziri wa Elimu,Dr.Joyce Ndalichako).
Natoa wito kwa waalimu wenzangu wa science,tutengeze umoja huu ili kuweza kujadiliana namna bora ya kuboresha utendaji wetu wa kazi,lakini pia kutatua matatizo yetu.
NAPENDEKEZA JINA LA UMOJA HUU,LIWE TANZANIA SCIENCE TEACHERS UNION.
Ikiwa upo tayari kuwa mwanachama,tuwasiliane.
Mwl.CHRISS JENGELA-MOROGORO.
0763 989 840.
0714 808 196.
0673044423 naunga mkono chem/biols kinondoni dsm
 
Habari za asubuhi wadau,nimetafakari sana juu ya mambo yanavyokwenda katika sekta yetu ya elimu,hususan kwa waalimu wa science.
Baada ya tafakuri yangu kwa muda mrefu,nimegundua kuwa,waalimu wa science tunapaswa kuwa na umoja wetu,nje ya CWT,kwani CWT haiwezi kutusaidia kabisa kwa changamoto zinazotukabili.
Katika ajira zilizotolewa na serikali kwa waalimu,kwa mwaka 2015 ziliambatana na ajira za wataalamu wa maabara,kwa ajili ya practicals,lakini tukumbuke kuwa kabla ya kuletwa kwa wataalamu hao wa maabara,walimu wa science ndio walikuwa wanafanya majukumu yote,practicals & theories,(hapo pana tatizo,kwani tumekuwa tunafanya kazi mbili kwa malipo yale Yale).
Kuna changamoto lukuki,ambazo sisi kama wana science tunapaswa kukaa kwa pamoja,kuzijadili,na kuziwasilisha kwa serikali yetu,ambayo inaonekana wazi kuzingatia sana utaalamu na sio siasa,(ushahidi wa hili ni pamoja na uteuzi wa waziri wa Elimu,Dr.Joyce Ndalichako).
Natoa wito kwa waalimu wenzangu wa science,tutengeze umoja huu ili kuweza kujadiliana namna bora ya kuboresha utendaji wetu wa kazi,lakini pia kutatua matatizo yetu.
NAPENDEKEZA JINA LA UMOJA HUU,LIWE TANZANIA SCIENCE TEACHERS UNION.
Naunga mkono hoja na ili kupanua wigo wa mawazo na maoni tiyari kuna page Fb na WhatsApp

Just PM me
 
ualimu ni ule ule ....tena nawasikitikia nyie wa sayansi ..hamjajitambua mapema mkasoma course za afya mkaheshimika ...any way undeni umoja wenu kila la kheri ......karibuni sekta ya afya kwa wale mtakaopenda kuachana na chaki .......
 
yeah ni Mimi kwani kuna ubaya wowote ??????
Umewashauri vibaya wataachaje chaki waje kushika damu,kuona wagonjwa au kuwa kwenye risk na kupata harufu ya madawa muda wote.

Ungekuwa kwenye kazi ambayo haina risk ndio uwakaribishe.

Pia unafikiri watu wote hawana kinyaa wanaweza kuwa karibu na wagonjwa au madawa.
 
arguments zako nimezielewa aiseee .....una mawazo ya kimwendokasi
 
Bora uelewe kuwa kuna mgawanyo wa majukumu sio wote waende kutumbua usaa na kuchoma sindano au kubeba maiti na kupeleka mochwari.

Karibu kwenye biashara upate heshima.
 
Isue hela tuu nyie acheni utahira wa kuringia cozi..kuna madaktari bingwa maisha yao ya kishenzi tuuu pia kuna maprofesor wa hiyo sayans maisha yao bora ya mmachinga k.koo..acheni ungese
 
  • Thanks
Reactions: HMJ
Back
Top Bottom