It is possible, inategemea kuwa uhusiano wenu mliumaliza kwa namna gani. Mimi nina experience inayotaka kufanana na hiyo. Kuna X-wangu ambaye nilikuwa naye kabla sijaoa. Baadaye niliamua kuoa mwingine,na yule niliyemuoa alikuwa hafahamiani na x-wangu, na baada ya kuoa yule x-wangu alichukia...
Shikamoo kwa wapenzi, yaani mume na mke hainiingii akilini. Shikamoo kwa yule anayeitoa itakuwa ishara ya kumwogopa yule anayepewa hiyo shikamoo na hivyo kufanya asiwe huru sana. Nadhani kwa wapenzi si vizuri kuitumia.
Mapenzi ni watu wawili kupendana, sasa kama mtu mmoja hajisikii chochote kwa mwenzake, hata wakirudiana mapenzi hapo hamna. Ndo yale utasikia mke anakuwa na buzi lake nje. Huyo rafiki yako ajitahidi kuchukuliana na hali hiyo na aone kama haikuwa bahati yake. Tena ashukuru Mungu kwa kuwa hali hii...
Mkuu kulelewa siyo dili, utanyanyasika sana. Katika hali ya kawaida is better mwanamme ukawa na kazi ya kukuingizia kipato kuliko kumtegemea mke kila kitu, heshima itapungua.
Habari JF members. Nimekuwa msomaji wa thread mbalimbali kwa siku nyingi kabla ya kuingia kuwa member hasa kwenye hili jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki. So please tuko pamoja.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.