Recent content by artesunate

  1. A

    Msaada wa hili jambo tafadhali

    Salam wanaJF, Naamini mpo wazima, tafadhali naomba kubadilisha mawazo na nyie labda akili yangu itatulia. Mimi natokea katika familia ya ndoa za mitaala....mama angu ni mke mdogo lakini pia kunabimkubwa 2meishi kawaida wakati baba mzima, lakin kipindi baba alivoanza kuumwa ndipo tatizo lilianza...
  2. A

    MSIBA: Nimefiwa na Mama yangu mzazi

    pole sana mungu awe pamoja nanyi.
  3. A

    Ukiwaoa wanawake wanaofanya kazi hizi, basi una changamoto kubwa

    wew nes anaingia nyt cdhan kama anapata huo muda labda awe ameaga anaenda kazn lakni ratiba yake cyo kwnda kazin ni hivo tu.
  4. A

    Nifanyeje nisimchoke mpenzi niliyenaye?

    nakuwa nampenda kwa wakati huo na ndo maana namkubalia ttzo namchoka
  5. A

    Nifanyeje nisimchoke mpenzi niliyenaye?

    Jamani natumaini wazima wote, Ushauri wenu ni muhimu sana nikijumlisha na mawazo yangu. Nimekuwa mtu ambaye nashindwa kumpenda mwanaume muda wote nimekuwa nampenda mda mfupi tu alafu nakuwa bize na mambo yangu kila nikijaribu kuwa naye karibu najikuta nashindwa. Hadi sasa nimekuwa na...
  6. A

    Imani ni nini?

    umejibu safi sana
Back
Top Bottom