Yani ningepewa ruhusa ya kuondoa kitu kimojawapo hapa Tanzania, ningeondoa huo Mwenge.
Ni wastage ya pesa na time kuukimbiza
na popote unapolala ni zinaa ndiyo utawala ktk huo mkesha.
Mkuu walikuja kwetu pande za Kimara,yani ni shida,wanakamata kila asiye na "dust bin" mpaka mafundi welding!!!!
Cha ajabu walifika kwenye mgahawa wakakuta dustbin ipo wakauliza kwanini mpishi haja vaa "epron" !!!!!!
Fine zao ni elf 50 hawana mjadala!!
Mkuu BINAFSI nikushukuru kwa WAZO ZURI SANA.
kama umepata fursa ya kutembea MIKOA kadhaa ya nchi yetu MUNGU ametubariki ARDHI yenye rutuba na MAJI ya kutosha.
Serikali ingeweka NGUVU kubwa katika kilimo na kukuza thamani ya MAZAO baada ya muda mfupi tungeweza kujenga flyovers kila mkoa na...
Jana mimi nilipeleka gari maeneo ya Mbezi kwa ajili ya matengenezo,gari lilikuwa lina miss nikaona nimpelekee fundi aliyenibadilishia plugs last week ili aniambie tatizo ni nn.
Nikafika nikamueleza tatizo akaanza kutafuta chanzo,nikatoka kidogo nikamwambia ukishajua tatizo unijulishe kwa simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.