Habari wadau.. Fundi ninae mtegemea kasafiri na dish langu lilicheza kidogo, Nimejaribu kuliweka sawa ila signal napata intensity 80% na signal 45%, kuna Baadhi ya channel chache hazioneshi na zingine Zote zipo vizuri na hazigandi, sasa kuna jamaa Kaja ananambia Itakua ni wire, ila kabla...