Recent content by Arria

  1. Arria

    AZAM TV Mjitafakari na Bei Zenu za Ving'amuzi, DSTV Wameamua

    vipi wale wenye continental 😂😂😂
  2. Arria

    Sababu gani ya ajabu iliyokufanya uachwe au uache

    labda ingawa yy anasema yupo single😂😂
  3. Arria

    Sababu gani ya ajabu iliyokufanya uachwe au uache

    alipata kazi akawa bize kupitiliza, Siku tatu nne zinapita no text no call hadi mi nianze mwaka mzima nikawa nakomaa hivyo hivyo ugomvi kila siku, Siku moja nikaamua nimuache na kazi zake siku hz kila nikipost status lazima areply "beautiful "
  4. Arria

    Nimemwambia nibebee Mimba ili nikuoe hataki

    kwa akili hiyo wewe ndo mjaza choo, kwanza hata nguvu za kiume huna!
  5. Arria

    Ushauri, nimetumiwa ujumbe huu na mpenzi wangu

    sawa, umeamua kutufahamisha kuwa ww ni handsome
  6. Arria

    Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

    hakuna sababu nyingine... the thing is that mm huwa sina tabia ya kununa I always smile, hata kama nimechukia huwez kujua.. sababu ni kwmba nilikua namjibu siko tyr kuwa nae with a smile so yy akaona lbda namzungusha zungusha tuu ntakubal... sasa kagundua kua sina mpango nae ndo kaamua...
  7. Arria

    Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

    sijawah kula hela zake... kwanza hana ela za kunipa mm
  8. Arria

    Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

    Amenitukana matusi siwezi kuyaandika hapa zaidi ya hicho
  9. Arria

    Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

    sijawah kula hata sh. mia kutoka kwake jamani
  10. Arria

    Mwanaume unamtukanaje mwanamke kisa kakukataa?

    Habari zenu wapendwa Kuna kaka mmoja baada ya kunitongoza mda mrefu na mimi kutoonesha dalili za kutaka kuwa nae, leo kaamua kunipigia simu na kunitukana matusi eti najifanya naringa kumkataa yeye, kwanza alikua ananijaribu tuu. Nimechukia sana jamani sijamjibu chochote nimemsikiliza...
  11. Arria

    Hivi viapo vya mapenzi vina madhara?

    ukiamini hivyo yatakutokea kweli isipoamini walaaa your free from it
  12. Arria

    I'm HIV + naanza safari yangu ya matumaini

    usikate tamaa kupata HIV sio mwisho wa maisha endelea na ndoto zako zingatia ushaur pia wako watu wameathirika toka 1990 hadi leo wanaishi
Back
Top Bottom