Nakuelewa vyema mtoa mada..nahic kuwa ushauli wako unaweza kuwa sahihi..japo jambo moja muhimu flying over zwepo..ila ttzo naona ni namna ya ujenzi..wataaram wa ukadiliaj wangrmshauli wazir anaehusika ila lazma kuwe na evidence ya ghalama za hiyo nyumba ya wizara na tanesco na yapimwe madhara...
Ckumbki tena maana..niliacha kununua walipoanza tuu wale jamaaa wa kuchakachua kwa kutangaza kwa kiswahili(kila nikienda dukan serie zmebadilika na ni za kiswahili tuu) mara ya mwisho n mwaka juzi hopfully..alipocholewa mchezo sbb ya jamaa yake kukatwa mkono, akaundiwa zengwe la kwenda kumteka...
Mnaozijua sheria vyema nisaidieni kwa vifungu vya sheria...sina tatizo na uwezo wa bunge kutoa mapendekezo kwa kosa la yeye kuwadhalilisha wabunge na bunge(kama itathibitika alifanya hivo) ..tatizo ninalohitaji msaada kulijua ni nafasi ya bunge kuhusu kutoa adhabu kwa kiongozi wa...
Siungi mkono wanaomwandama na kumsema vbya..ila labda niseme tuu kuwa..kazini sio mahara pa kujifunza kazi isipokuwa ni mahali pa kufanya kazi, kupata uzoefu na kuongeza ubunifu..hivyo ukisema ajifunzie wapi(japo siamini kama hajajifunza) hapo n dhahili hapatakuwa mahali pake...labda nishauli...
Binafsi cjaona ttzo na pozi lake bhana..amekaa kawaida tuu mkao wa kawaida tuu..isipokuwa kama picha inauhalali na hayo maneno ndio tatizo..ila kama wame edit maneno ni watu tuu wanataka kumchafulia jina na kazi..anayohaki ya kufungua mashtaka...japo pia nishauli tuu hata tukiwa makazini kwetu...
Elimu ni dira ya mambo mengi ni kweli..na hutoa ufahamu wa ziada juu ya mambo mbalimbali.nacho amini mimi ni kuwa kuna wajibu ambao unamtaka mtu asomee tena kwa kina zaidi..na kuna wajibu ambao unamtaka mtu awe na elimu ya dalasani kiasi ila hasa awe na ufahamu wa kuzaliwa au wa kimazingira juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.