Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

Utanyolewa wewe Makonda is safe under the protection of Jehovah the everlasting living God.
Nitolee psychosis.kwanza sijui una schizophrenia wewe kila mtu na mtazamo wake mi mtazamo wangu kama unakuchoma pole sio kunijibu nimekuandikia wewe mmbwa wewe.
 
Mnaozijua sheria vyema nisaidieni kwa vifungu vya sheria...sina tatizo na uwezo wa bunge kutoa mapendekezo kwa kosa la yeye kuwadhalilisha wabunge na bunge(kama itathibitika alifanya hivo) ..tatizo ninalohitaji msaada kulijua ni nafasi ya bunge kuhusu kutoa adhabu kwa kiongozi wa serikar(executive) kuhusiana na kosa lolote alilofanya mfano kufoji vyeti...je nafasi na uwezo wa bunge kutoa adhabu vimekaaje kisheria? Plz nataka kisheria na kikatiba sio bla bla za siasa
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere

View attachment 488474
Yeriko mambo yenu ya siasa usimuingize Mwenyezi Mungu wewe si kitu kwake wala Tanzania si kitu kwake tafadhali heshim utukufu wake kama ni Uhuru wa kuongea siyo kwa mwenyezi Mungu.
 
Hapa ongeeni tu lkn hamtaamn kile kitakachoamriwa

Mda ndio mwalimu wety
Armies of God are with Makonda. Makonda Will emerge victorious in the supernatural name of Jesus. Angelic militant warring hosts are with Makonda. Enemies wa Makonda mlioko popote mtazamishwa kama jeshi la farao baharini na magari yenu ya Vita. Be prepared to sink in the supernatural name of Jesus. Leave Makonda or sink
 
Mdogo wangu kwani vyeti kakiri ni vya kununua??
Mm mwenyewe nataka nijue hapo..
Maana kama kuna watu huku kwetu wanamaisha magumu kwasababu ya kufukuzwa kazi wakiwa na vyeti feki wengne wamekimbia makaz yao kuogopa kishtakiwa halafu yeye aendelee kutamba ofsini hii haitakuwa fair .
Pia itabidi wale waliompa taarifa mkulu wa kaya kuhusu huyu mtu kwamba anafaa kushka madaraka ilihali hana sifa itabidi nao wawajibishwe kisawa sawa
 
Una kihere here si usubiri ripoti Official ya kamati ya bunge na uamuzi wa bunge mbio zote na haraka za nini? Makonda God will help you. Tunakuombea
Mungu anamtafuta Makonda ili ampe blessing hamuoni we sema god help Daud Bashite ndo itaenda kwa muhusika
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere

View attachment 488474
Umekuwa mwenyekiti wa kamati??
 
Armies of God are with Makonda. Makonda Will emerge victorious in the supernatural name of Jesus. Angelic militant warring hosts are with Makonda. Enemies wa Makonda mlioko popote mtazamishwa kama jeshi la farao baharini na magari yenu ya Vita. Be prepared to sink in the supernatural name of Jesus. Leave Makonda or sink
Ndo maana mkuu nikawapa news wale wanaotegemea atumbuliwe hilo wazo watoe na kama hawaamini basi wasubiri maamzi yatakayotoka
 
Nawewe tutakuita Bungeni ukahojiwe kwani kujifanya wewe ni Mahakama afu unawaelekeza wabunge nini cha kufanya ni ujinga

Huyu ni mnafiki na mtafuta kiki tu!!
hana lolote anataka wabunge wafanye vile atakavyo yeye kama nani!!
Chuki zake zakijinga Jinga zitammaliza
 
Ni hakika kwa100% Daud Albert Bashite alimaarufu Paul C. Makonda amekiri tuhuma zote mbele ya Kamati ya Bunge leo,

Kinachosubiriwa ni maoni ya kamati hiyo kwenda kwenye Bunge ambapo taarifa na maoni hayo vitasomwa Bunge linaloanza wiki ijayo 04/04/2017.

Mimi kama raia mwenye haki na wajibu kwa taifa langu, nikitambua haki yangu kwamba Bunge ni chombo changu cha uwakilishi, Natoa onyo kwa Kamati husika na Bunge pia, Ole wenu mje na hadithi ya kwamba MMEMSAMEHE.

Narudia ole wenu, Ole wenu, ole wenu kabisa..... Sisi wananchi tuna kesi nzito sana na huyu mtu nje ya yeye kutudharau na kutudhihaki kupitia bunge letu ambalo nyinyi tumewatuma mtuwakilishe...

Nataka mtambue kila mnachofanya hamfanyi kwaniaba yenu, bali kwaniaba yetu, Hivyo sisi tuliowatuma tayari tulishamhukumu na kufunga file lake.

Ole wenu mbadilishe maamuzi ya umma, Sisi ndio wenye mamlaka ya mwisho katika nchi hii, sio rais, sio jaji, sio spika, bali sisi tukisema na kuamua mbinguni na duniani tumeamua.... Hii ni kwamjibu wa katiba ya 1977 na ile inayopendekezwa ya Warioba na hata ile ya Marehemu Sitta bado hazikutung'anya mamlaka yetu.

Ukisikia kwamba mamlaka yote yanatoka kwa Mungu haimaanishi Mungu wa ulaya au asia, Mungu ni sisi Watanzania..
Sisi tukisema ni Mungu amesema!

Ole wenu wabunge!!!!!

Na Yericko Nyerere

View attachment 488474
Semeni yote lakini kwangu mimi huyu kijana ni shujaa wa muongo
Bado namhitaji sana kwenye siasa za nchi hii na hata kiutendaji
Basi tu kuna watu hawatambui umuhimu wa huyu kijana
 
Bashite kumbe anaweza kuamkia wakubwa wake
..shikamooni.

Haaaaaa naona mwisho wake uleeeeeee
 
Back
Top Bottom