Recent content by Army of 01

  1. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni sayari gani iliyokuwa karibu na Mwezi?

    Venus kwa sasa inaonekana jioni upande wa Magharibi
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni sayari gani iliyokuwa karibu na Mwezi?

    Kwenye mfmo wetu jua ni sayari mbili tu ambazo zinaoneka na kung'aa kuliko nyingine Venus (Zuhura) na Jupiter (Mshtarii)
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni sayari gani iliyokuwa karibu na Mwezi?

    Ni Venus(Zuhura) ambayo kwa sasa hivi inajulikana kama nyota ya jioni kwa sababu ipo mashariki ya jua, kwa kuwa jua linazama kabla ya yenyewe. Ikiwa Magharibi ya jua inakuwa nyota ya asubuhi kwa kuwa inchomoza kabla ya jua.
  4. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni sayari gani iliyokuwa karibu na Mwezi?

    Hiyo uliyoiona karibu na mwezi ni Jupiter (Mshtarii)
  5. A

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Kamanda Gilles Muroto?

    Ha ha a; Hadi akatrend kwenye media za Al jeezira
  6. A

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Kamanda Gilles Muroto?

    Ha ha ha ha ha a Mzee wa "Watapigwa hadi wachakae"
  7. A

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Wameboa kweli
  8. A

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hello Tanesco, nilajaza fomu ili niondolewe kwenye matumizi makubwa taakribani mwaka mmoja ulopita lakini hadi leo ni komya. Naomba majibu tafadhali.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Nomepakua fomu na. 1 lakini siioni kwenye simu yangu, ila password nimetumiwa kwenye email
  10. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Ndivyo navyofanya làkini tatizo liko palepale
  11. A

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Email yangu pamoja na zile za wadhamini wangu naandikiwa invalid, wakati ndo natumia kwasaliana nao, Msaada tafadhali
  12. A

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Ayanda na Pastor midevu pamechimbika kule kanisani. Kiwete feki aliyeletwa kwa wheelchair na kuombewa akapona, ameletwa na binti wa Dhlomo pale kanisani ili atoe ushahidi
  13. A

    JamiiForums Tanzania Simba Sc 4-0 Us Gendarmerie | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium

    350,000x2300=805,000,000.
  14. A

    JamiiForums Tanzania Uzalo Special Thread

    Halafu jamaaa kaenda kumkatia kibunda chake na kumtahadharisha achunge asije kushtukiwa, Ha ha ha ha ha a; Huyu Pastor midevu sjui kama atachukua round huyu
Back
Top Bottom