Recent content by Armstrong Nic

  1. Armstrong Nic

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hatari hii 🤕
  2. Armstrong Nic

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Hahahahaha Hahahahaha :D :D :D
  3. Armstrong Nic

    Mke kazidi mizaha

    Ok. akili yake ilishindwa kufikia hapo penye kutumia hekima Naamini umeuliza tumejifunza wengi kutokana na maoni ya wadau Barikiwa
  4. Armstrong Nic

    Mke kazidi mizaha

    Ilipaswa umuulize kwamba ili nisisali uongo nisalivipi? Kwa utaratibu tu. Au Kuna shida umeiona kwangu inakwamisha sala zangu? Ila sio kuona ni mzaha tu
  5. Armstrong Nic

    Mke kazidi mizaha

    mmmmmm Mimi naona haihitaji marekebisho yoyote, kwani unamke mzur sana tena anaishi na wewe kirafiki tena kimahusiano safi kabisaaa Tatizo lipo kwako. Your a seriously people. Unataka na yeye awe serious kwenye kila kitu kama wewe. Punguza hicho kilichopo kwenye kichwa/moyo wako, utamfurahia...
  6. Armstrong Nic

    Ujuaji wa hovyo na tamaa ya Babra unazua sintofahamu nje ya nchi

    Atengue maneno yake aliyoandika hapo yenye matusi
  7. Armstrong Nic

    Je, huyu mwanaume ana malengo?

    Mmm hapo mdada anapotezewa muda wake, Cha kufanya abadilishe line kwaajili ya mishe zake na kuanza maisha mapya atampata mwanaume mwenye malengo ya kuoa
Back
Top Bottom