Kweli kabisa inasikitisha sana pale ambapo unasaliti taaluma yako na kufanya mambo ili kumfurahisha mtu
Kunamwananchi aliniambia tanzania hakuna wasomi nilimbishia sana
Mwingine akasema kiutafiti watanzania wengi ni wagonjwa wa akili nikashangaa Ila kwa yanayotokea sasa looo yote ni kweli
Ebu watanzania ifike mahali tuwe tunafikiri vema na kuachana na ushabiki usio na maana
Mbona waliweka wazi ilivyokua vigumu kuwapatia watanzania maendeleo stahiki wakiwa ndani ya Ccm kwasababu ya mfumo mbovu uliopo?
Mnataka wasemaje tena muelewe?
Kwa alie sema joh makini anaweza panda jukwani kushabikia ccm ili sahau kabisa na huwezi mfananisha joh na fid hata sikumoja joh makini ni level za mbali mno na hapendi cheap politics Kama wasanii wengine na aliahidi hataki kuwachanganya mashabiki wake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.