Ata wazungu walianza ivo hatimae wamehalalisha ushoga, mwanaume mzma unawazia matako?!! Seriously!!?? Ndo maana kuna wadada siku izi wanapenda kusodomiziwa, tunapoelekea cjui wap
TRA wamechemka, ripoti ilibid iwe ya tarehe 1 october 2017. Ila kuonyesha jinsi gani serekali yetu ni vilaza ona hii
Mwezi July una siku 31 wamekusanya 1.1 Trilion
Mwez Agosti una siku 31 wamekusanya 1.2 Trilion
Mwezi September una siku 30 lakin ripoti imetoka tarehe 10 September ivo wameweza...
Iv wameweza vp kwa siku 9 kukusanya 1.3Tril??
Ripoti za kupika huwa zinafurahisha sana; July 1.1, Agost 1.2 , Sept 1.3
Kama kuna mtanzania anaiamini ii ripoti bas itakuwa karogwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.